Hatimae 2019 RAV 4 imepata muonekano mpya wa kiume

Povuuu...Hio ID ishatosha kunieleza we ni mtu wa class gani hivyo usiendelee kupoteza muda wako bure.
 
Hicho 'kibiongo' hapo nyuma chanikera mie……..hata kama sina senti ya kuinunua….
 
Povu
 
Hizi gari naona zote zitafanana sasa hapo inafananishwa na renge lover kiaina
 
Kwenye Kluger ndo sikai kabisa, ni afadhali niendeshe Kirikuu.Una kuta mtoto wa kiume amejaa kwenye Ist,sehemu zake za siri zimejikunyata utadhani mtoto wa Dar katupwa sehemu za baridi Mufindi.Mtoto wa kiume unanenepeana kwenye Nadia,Noah,Passo,na vigari vingine vya aina hiyo kisa?!!! Eti ulaji wa mafuta ni mdogo kwenye misele... Mtoto wa kiume unaendesha gari linalo kunywa mafuta kwa kutumia kijiko cha chai?
Siwezi kuendesha gari linalo sababisha tumbo linapakatwa na mapaja,kwani ndo chanzo cha nguvu za kiume(uume na mapumb...muda wote yanapikwa kwa joto) kupungua.
 
Hahahaha halafu unakuta huyo mtu nae anavimba eti ana gari mjini na funguo ananing'iniza kiunoni. Hopeless kabisa!
 
Inawezekana kabisa mleta mada hana hela,ila nimependa anavyo enda na wakati. Kiukweli ukipenda vitu vizuri hata utafutaji unakuwa wa malengo.
Tuzoee kuwa na vitu vizuri au kuwa na ndoto ya kumiliki tu.
 
Hahahaha halafu unakuta huyo mtu nae anavimba eti ana gari mjini na funguo ananing'iniza kiunoni. Hopeless kabisa!
Unapata safari ya ghafla Dar to Songea/Mbeya/Mwanza/Bukoba,n.k. badala ya kukimbilia kituo cha mafuta unaanza kuhangaika na fundi akuhakikishie kama kigari chako hakitachemsha njiani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaha! unatafuta mnyama kama huyu halafu lenye exhaust kama hizo hapo chini...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…