Hatimae 2019 RAV 4 imepata muonekano mpya wa kiume

Kwahiyo kaka Lemutuz nakile ki Noah anazingua? Ila nashangaa kaka na usuper billionaire wote habadilishi gari.. Noah tena number B. Ngoja nimtie hasira akahongwe ndinga sio kigari..
 
Pole. Hutaweza kulitumia hili kama kwa sasa una 30+. Maana mpaka ije huku ikiwa used ambayo sisi tunaziita mpya unakuwa na 50+ maana gari nyingi tunazotumia cc ni za mwaka 2003-07.

Kingine kumbe wewe inaangalia urembo badala ya kuangalia specification za gari. Unaweza kuwa msukuma kwa kabila(joke) maana wao hawaangalii ubora wanaangalia rangi na maurembo.
 
Sawa sawa, utalitumia wewe mwenye miaka 18 sahivi na pesa za kutosha.

Nikukumbushe tu Engine za Toyota ni zile zile kiongozi 4-Stroke engine petrol and diesel hamna jipya zaidi ya hybrid options na maboresho katika suspension.

Hio gari ni 2.0L watachokuwa wamebadili ni mfumo wa uchomaji mafuta tu kama wanavyofanyaga. Walianza na Carburettor, wakaja EFI wakaiboresha kuja, Variable valve timing, Variable valve timing with intelligence, D-4 na sasa Valve matic ili kupata milage nzuri kwa litre ya mafuta.

Sasa unaponiita msukuma napatwa na kigugumizi kidogo.
 
Body nyepesi ni kwa ajili ya safety, pia hakuna gari yenye body ngumu sahivi. Body ngumu ziliishia miaka ya mwanzoni mwa 90 huko!
Uzito wa body Unamadhara kwenye uraji wa mafuta. Kila kampuni inataka kutengeneza gari bora itakoyotumia mafuta kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…