Hatimae 2019 RAV 4 imepata muonekano mpya wa kiume

mkuu kuendesha Toyota ni umaskini?[emoji24][emoji24]
Maisha hayako sawa......
ni kumeza ....na watu wengi wanaosema hivi hawanagata hata baskeli....sasa kati ya kuendesha toyota,kia,mazda,hyundai ipi haiaminiki au ni umaskini ?? mazda demio unaeza agiza kwa bei ndogo kama ya passo ....

pili kila mtu anaenda kwa anavovitaka ...mfano landcruiser LX huwez ikuta popote hamna kampuni.inatengeneza gari ya offroad kali vile ...kama unavyojua serikal yetu wakiamua fanya manunuzi hela kwao sio shida sasa ask your self kwann wamenunua LX ?? vxr v8 je utapata wap gari ka hiyo zaidi ya yale ma range rover luxury ila vxr gari ya kiume.....kwa vile toyota gari ndogo za diesel hawana sana kama unataka diesel kwa ajil ya mafuta na vinginenvyo ndo unaamia sasa kwa hizi kampuni nyngne mfano audi kina bmw VW nk
 
Hahahaaa, Wanaume katika ubora wenu
 
Haaaaa hatari jamani je Mark X je?
 
Mshikamoo
 
Tunaendesha Toyota kwasababu ya umaskini tu. Gari ni BMW, period.
Sema Toyota unazonunua wewe ni za umaskini wako wewe, Toyota ina magari mazuri na bora ( bei sasa)
Mfano V8s una hela ya kununua V8 mpya? Au unalalama kisa una IST?
 
Rav 4 haijawahi kuwa gari ya kiume. Gari kama Land Cruiser Mkonga, Land Rover Defender, Jeep Wrangler, Nissan Patrol na gari zinazofanana na hizo ndio unaweza kuziita gari za kiume
Volkswagen amarock
Ford ranger
 
Sema Toyota unazonunua wewe ni za umaskini wako wewe, Toyota ina magari mazuri na bora ( bei sasa)
Mfano V8s una hela ya kununua V8 mpya? Au unalalama kisa una IST?
Hahahaha..watu bwana mnadhani V8 mmemiliki wenyewe tu. Narudia tena tunanunua Toyota kwasababu ni maskini tu, huwezi kuendesha Toyota ukajifananisha na mwenye BMW au Mercedes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…