Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,160
- 3,368
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hivi account kama hizo sio kwamba zinatumiwa na makachero kupata info watakazo...
Unaweza ukawa unadhani unawasiliana na Kimambi kumbe unawasiliana na kitengo pendwa cha ukachero...
Kama insta ni ya Mange Beyonce na Selena Gomez watasema dunia ni yao!mwenye insta yake karudi kama isingekuwa kublock watu asingekamatika kwa follows huyu binti
Haha wabongo utawaweza..halafu insta ikishakuwa yake then whatKama insta ni ya Mange Beyonce na Selena Gomez watasema dunia ni yao!
Babu na wajukuu zake![emoji115] [emoji115] [emoji115]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mange alicheza mchezo wa kuiblock account yake ili apoteze kiki ya Wema kurudi CCM ili nililiona kitambo sana na amefanikiwa. wengi waliacha habar za Wema nakuanza kumuongelea Mange kwa vitu tofauti wengi walisema kwamba Mange kanunuliwa na CCm.
Na Jinsi alivo rudi kama ww zuzu uwezi kugundua. Alisema Tarehe 15 nitarudi hewani na kweli amerudi ahahaha Mange.
Taifa la ufipa.Dada wa Taifa
Mtoto wa taifa hajambo? 40 yake inadondokea lini?Taifa la ufipa.
Kesho.Mtoto wa taifa hajambo? 40 yake inadondokea lini?
Kitambo kidogo lakini me nikitaka kuitumia huwa haionyeshi chochote, inaload tuNa hii App yake Kaitengeneza lini?