Hatimae account ya instagram ya Mange Kimambi yarejea

Hatimae account ya instagram ya Mange Kimambi yarejea

Hivi account kama hizo sio kwamba zinatumiwa na makachero kupata info watakazo...

Unaweza ukawa unadhani unawasiliana na Kimambi kumbe unawasiliana na kitengo pendwa cha ukachero...
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
09963c79fc33fcf0db83d36b22cbb84a.jpg
[emoji115] [emoji115] [emoji115]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Babu na wajukuu zake!
 
daah.......... mwenye insta yake karudi ...... ngoja ni install upya app ya insta maana bila mange ntapata wapi za jikoni????????? huyu dada ni wa tofauti sana mi namwita firebrand girl... my life will go on along with mange kimambi on instagram..
 
Mange alicheza mchezo wa kuiblock account yake ili apoteze kiki ya Wema kurudi CCM ili nililiona kitambo sana na amefanikiwa. wengi waliacha habar za Wema nakuanza kumuongelea Mange kwa vitu tofauti wengi walisema kwamba Mange kanunuliwa na CCm.


Na Jinsi alivo rudi kama ww zuzu uwezi kugundua. Alisema Tarehe 15 nitarudi hewani na kweli amerudi ahahaha Mange.
Screenshot_2017-12-15-23-16-40-1.png

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom