Hatimae dada mkuu, Lady Jay Dee ni mjamzito

Watoto ni rizq, kama pesa na majumba , na kila mtu hupata kwa wakati Mungu aliompangia . Usiwajaze huzuni wanawake siio kila mwanamke ni bogus na re kama ufikiriavyo .
Narudia tena miaka ijayo Tz itakuwa na watoto mazombie bogus, kwasababu sasa hivi wanawake mnatombeka sana, mnameza P2, mnafanya abortion, bad enough mmekuwa walevi...
Mwanamke kuzaa ukiwa na 35+ huko ni kuleta changamoto duniani... Shida yenu mnataka kujificha kwenye kichaka cha kuzaa au kuolewa ni mipango ya Mungu 🤣 mnasahau Mungu hujibu na kupanga kulingana na maisha yako yalivyo...
Wanawake endeleeni kucheza na dunia mwisho wa siku Tz/Africa itabaki na wanawake wazee wengi waliokosa matumaini ya kuishi...
 
Kaz ya uumbaji sio yako arifu , chekesha.
 
Mkuu, kila mtu na maisha yake. Usitake watu wafuate unayowaza kichwani wewe. Suala la kuoa vs kuolewa, kuzaa vs kutozaa, kuzaa mapema vs kuchelewa na maamuzi ya mtu binafsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…