Hatimae dada mkuu, Lady Jay Dee ni mjamzito

Za chinichini Kuna wapekuzi humu ndani
 
Mbona mleta mada kaeleza vizuri kuwa alikuwa anatafuta mtoto miaka mingi! Mtoto ni majaaliwa mkuu kama ni kweli ni mjamzito basi Mungu amfanyie wepesi.
 
Hongera sana kwa Jide,
Umri wowote Mungu akiruhusu mtu anazaa tu, hasa kwake ambaye ameishi maisha mengi bila mtoto.
Kweli kabisa mkuu, kuna vitu viko nje ya uwezo wa kibinadam, amehangaika sana kutafuta mtoto kama kweli ni mjamzito basi ni jambo la kumshukuru Mungu.
 
Isije ikawa ni chibisi
 
Chips zege plus vifanga wakubwa
 
Wala sio wote wanatumia hizo dawa
Nina mifano kabisa hamjawahi ht tumia ila tu Mungu ana sbb zake wakati mwingine au mtu mwenyewe km hajapata mtu wa maana wa kuzaa nae haoni umhim
 
Jide ni kati ya Wanawake wa Kitanzania wachache sana Wenye akili na Maarifa ya kijasiliamali.
 
Kama ni kweli pongezi kwake, Mungu kamfuta matusi na machozi yake.
 
Wewe tulia Mungu anamipango yake kama hujui, unazani kila anayechelewa kupata kitu kafanya makosa? Mungu anamipango hata wewe uliyewahi Mungu anaweza fanya lolote, muulize Hannah mama yake nabii Samuel alikula dawa gani ! Usihukumu utakuja hukumiwa mpaka ushangae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…