Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #21
HawaoneshiKwahiyo kifurushi cha 24000/ kitakuwa na mpira pia? Au ni cha 10000/ tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HawaoneshiKwahiyo kifurushi cha 24000/ kitakuwa na mpira pia? Au ni cha 10000/ tu?
Dah😂Nilikua napata ukakasi mpira kuoneshwa TVE je singeli na mwamposa wangeonesha wapi
Ndio nauñga mikono hojaAzam ukiondoa mpira wa bongo simba na yanga n weupe tu
Umesoma tangazo vizuri?
Mkuu kifurushi cha 24.000/- kinacover hicho kifurushi cha 10.000/- kwa ongezeko la stesheni.Kwahiyo kifurushi cha 24000/ kitakuwa na mpira pia? Au ni cha 10000/ tu?
Ni breaking news maana SA walishatangaza kukosa wateja karibu laki nne kwa kushindwa kuonyesha hiyo Afcon naona Motsepe kawabeba kawapa haki kwenye hizo TV 6000 zingine zilizopewa Duniani maana Dstv wangeangukia kifo cha mende maana walishaanza kutangaza hasara tayari..Nimesoma...
Na hii sio breaking news, kilichobadilika hqpo ni nambari tu za channel watazotumia kurusha hiyo AFCON...
Asavali..
Karibu sweetheart...Asavali..
Tunaomba tusiofahanu Mtupe na uodates za mechi za siku !
Thank you smart
Mbali na ligi ya Tz, sina cha kunfanya niwashe king'amuzi cha Azam.Hili tangazo nililiona jana kwenye Supersport Blitz. Well its a good news kwa king'amuzi changu pendwa
Walisemaje mkuu?Afadhali.
Azam TV sijui watabadilsha ile slogan yao kuhusina na kuonyesha haya mashindano
Na jamaa wakipata leseni ya kuonesha ligi ya Tanzania, Azam anafunga king'amuzi chake.Ni kukosa mipunga tu wakuu ila king'amuzi cha kuwa nacho ni Dstv tu