Hatimae DStv kurusha michuano ya AFCON

Hatimae DStv kurusha michuano ya AFCON

Nimesoma...

Na hii sio breaking news, kilichobadilika hqpo ni nambari tu za channel watazotumia kurusha hiyo AFCON...
Ni breaking news maana SA walishatangaza kukosa wateja karibu laki nne kwa kushindwa kuonyesha hiyo Afcon naona Motsepe kawabeba kawapa haki kwenye hizo TV 6000 zingine zilizopewa Duniani maana Dstv wangeangukia kifo cha mende maana walishaanza kutangaza hasara tayari..
 
Back
Top Bottom