Hatimae DStv kurusha michuano ya AFCON

Hatimae DStv kurusha michuano ya AFCON

Haya ma azam tv na ule utangazaji wao wa kiswahili ni upuuzi mtupu
Nimetazama michuano ya mapinduz cup, quality za mechi mbovu. Nafikiri wakiwa Mkapa Stadium na sehem zingine quality inakuwa bora hasa kwa Mkapa.
 
Kwani ni wamekosa? Au changamoto yao nini
Miaka ya nyuma nafikiri waliomba ila wakanyimwa, baadae kidogo Azam akafungua biashara, juzi tu hapo Azam amepewa leseni rasmi ya kurusha mechi za ligi ya Tanzania.

Kwa quality na ukubwa wa biashara ya DSTV (Multi Choice) akipewa na Azam kibali cha kurusha mechi, 90% ya biashara ya Azam TV inakufa instantly.
 
20240104_101021.jpg
 
Kuna wayahudi wa buza wanaendeshwa kwa chuki tu
 
Na jamaa wakipata leseni ya kuonesha ligi ya Tanzania, Azam anafunga king'amuzi chake.
Ni kweli, Azam kingine kinachowaangusha ni Camera zao. Mpira unaonekana kabisa kuwa unafuatiliwa na Camera. DStv utadhani upo uwanjani.
 
Back
Top Bottom