Hatimae Dudubaya na Mr.Nice wamaliza beef

Hivi dame yupo uraiani siku hizi?
Yupo kuna siku alipewa kichapo kikali raia walimchoka... mwenye tofali,chupa,fimbo,rungu,mkasi,visu yaani balaa wakamkata vidole na sikio lakini bado bishi linakaba tu...
 
Yupo kuna siku alipewa kichapo kikali raia walimchoka... mwenye tofali,chupa,fimbo,rungu,mkasi,visu yaani balaa wakamkata vidole na sikio lakini bado bishi linakaba tu...

Kitaa long time. Ila sasa umri umeenda naona
 
Asee hii picha inasikitisha sana..
 
Hiyo glasi aliyoshika Mr Nice kama ina pombe za kienyeji maarufu kama "Sayona"… maana siamini kama Fanta Orange ataimimina kwenye Bilauri.
Dah! Bora ya mimi sijawahi kuwa maarufu na nisiwe maarufu!
Maana kinachotuuma wengi ni Umaarufu wa Nice na si vinginevyo…
Jana nilikuwa nasikiliza Radio…
Ikatolewa takwimu eti… kwa hapa Tanzania msanii aliyewahi kuuza Album nakala nyiingi ni Mr Nice pekee… Nakala zaidi ya 750,000(laki saba na nusu)…
Na ukiangalia kipindi hicho cd ndo zinauzwa ghali kidogo… na kanda zile za kaseti zilikuwa zipo kwenye tsh 1200 hivi…
Btw…
Mr Nice huyo huyo… ndiye kashikilia rekodi ya kufanya Show nyingi zaidi kwa wasanii waTanzania! Alikuwa anajaza kumbi/jukwaa/hall mpaka watu wanazuiwa…

So sad… ukipewa rekodi za Nice na ukaangalia hali halisi ya sasa… utamlilia!
Sijui wapi alijikwaa mpaka asinyanyuke tena…
Clouds fm walijitahidi mwaka juzi kumnyanyua lakini waapi…
Any way…
Kila mtu na maisha yake… mjini mishe mishe
 
sad sana....umeongea point za maana mpka chozi limenitoka...
ukweli mtupu..inasikitisha sana...ina maana jamaa hakuwa na akiba kabisa
maana from the most richest and popular artist wa east africa mpaka kuishia hivi
 

Dah! ndio huyu mr nice! Woiwoiwoo, woiwoiwoooo, kila mtu na demu wake! Mungu ampe afya njema.
 
So sad bana!!!!
 
Najua hata marekana wasanii wanafilisika, lakini huku kwetu inaonekana sanaa hailipi kwa wengi. So sad kuona huyo mr nice katika hali hiyo, naskia eti ni dereva wa bajaj
 
mr nice alikuwa na zaidi ya billion 1.5 cash kwenye account.

matumiz aliyofanya na wapambe wake siku nzima ata wakienda kunywa gari azizimwi na ac juu full time wawe au wasiwe kwenye gari.

alikula sana maisha na wapambe ofa kwa sana kupora mademu wa watu.

sasa hivi ata laki 3 hana kwa bank.Amechoka sana kiuchumi na afya
 

Mungu wangu!!!! Tusiongeze chumvi jamani… tunaumia wengine aisee…mfano mimi ndo hapa nasikiliza wimbo wa Kikulacho…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…