kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
Badala ya kupatana wakati wana pesa wao wanapatana wakati wote wana Njaa! Ukisikia ujjinga na uhanitthi ndio huu sasa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo kuna siku alipewa kichapo kikali raia walimchoka... mwenye tofali,chupa,fimbo,rungu,mkasi,visu yaani balaa wakamkata vidole na sikio lakini bado bishi linakaba tu...Hivi dame yupo uraiani siku hizi?
Yupo kuna siku alipewa kichapo kikali raia walimchoka... mwenye tofali,chupa,fimbo,rungu,mkasi,visu yaani balaa wakamkata vidole na sikio lakini bado bishi linakaba tu...
Kuna siku nilikutana na Dudubaya mitaa ya kwao Kisesa-Mwanza kilichonitia huruma jamaa kumwona anamwita mmasai akanunua ugoro dah! Sikuamini
Kuna siku nilikutana na Dudubaya mitaa ya kwao Kisesa-Mwanza kilichonitia huruma jamaa kumwona anamwita mmasai akanunua ugoro dah! Sikuamini
Katika pita pita yangu nimekutana na picha hii ya hawa wakongwe wawili kuwa pamoja na kuonekana kwamba wamemaliza tofauti zao...ni jambo jema,ningependa kuwapa hongera kwa kuwa na uwezo wa kuweka tofauti pembeni na ku move on...sema kinachonisikitisha ni muonekano wa mr nice...jamaa kaisha vibaya..tumwombee jamani hali inaonekana sio nzuri...
So sad bana!!!!Hiyo glasi aliyoshika Mr Nice kama ina pombe za kienyeji maarufu kama "Sayona"… maana siamini kama Fanta Orange ataimimina kwenye Bilauri.
Dah! Bora ya mimi sijawahi kuwa maarufu na nisiwe maarufu!
Maana kinachotuuma wengi ni Umaarufu wa Nice na si vinginevyo…
Jana nilikuwa nasikiliza Radio…
Ikatolewa takwimu eti… kwa hapa Tanzania msanii aliyewahi kuuza Album nakala nyiingi ni Mr Nice pekee… Nakala zaidi ya 750,000(laki saba na nusu)…
Na ukiangalia kipindi hicho cd ndo zinauzwa ghali kidogo… na kanda zile za kaseti zilikuwa zipo kwenye tsh 1200 hivi…
Btw…
Mr Nice huyo huyo… ndiye kashikilia rekodi ya kufanya Show nyingi zaidi kwa wasanii waTanzania! Alikuwa anajaza kumbi/jukwaa/hall mpaka watu wanazuiwa…
So sad… ukipewa rekodi za Nice na ukaangalia hali halisi ya sasa… utamlilia!
Sijui wapi alijikwaa mpaka asinyanyuke tena…
Clouds fm walijitahidi mwaka juzi kumnyanyua lakini waapi…
Any way…
Kila mtu na maisha yake… mjini mishe mishe
mr nice alikuwa na zaidi ya billion 1.5 cash kwenye account.
matumiz aliyofanya na wapambe wake siku nzima ata wakienda kunywa gari azizimwi na ac juu full time wawe au wasiwe kwenye gari.
alikula sana maisha na wapambe ofa kwa sana kupora mademu wa watu.
sasa hivi ata laki 3 hana kwa bank.Amechoka sana kiuchumi na afya
Mereh balaboo