Hatimae Dudubaya na Mr.Nice wamaliza beef

Najua hata marekana wasanii wanafilisika, lakini huku kwetu inaonekana sanaa hailipi kwa wengi. So sad kuona huyo mr nice katika hali hiyo, naskia eti ni dereva wa bajaj

Mbona nimesikia karudi moshi kupika mbege? Kaona fursa..
 
sad sana....umeongea point za maana mpka chozi limenitoka...
ukweli mtupu..inasikitisha sana...ina maana jamaa hakuwa na akiba kabisa
maana from the most richest and popular artist wa east africa mpaka kuishia hivi

Amewahi kuwa richest E.A Musician or mnaongeza chumvi?
 
mr nice alikuwa na zaidi ya billion 1.5 cash kwenye account.

matumiz aliyofanya na wapambe wake siku nzima ata wakienda kunywa gari azizimwi na ac juu full time wawe au wasiwe kwenye gari.

alikula sana maisha na wapambe ofa kwa sana kupora mademu wa watu.

sasa hivi ata laki 3 hana kwa bank.Amechoka sana kiuchumi na afya

juzi kati hapa alionesha nyumba yake ni nzuri tuu
 
R.O.M.A " Pesa ndo ilisababisha vita ya Nice na Dudu"

mtengwa " njaa ndo imemaliza beef ya Nice na Dudu"
 
Amewahi kuwa richest E.A Musician or mnaongeza chumvi?

Yea kipindi kile alikuwa top Kenya
Uganda Tanzania Rwanda burundi
Ilikuwa tingisha mbaya. .tena ki halal
Sio bandika bandua. .jamaa alikuwa show zake hata za mchana watoto zinakufuru
Jaza mno. .cd ndo husiongee kauza mpaka basi
 
mi namshsuri hata akizirenew album zake upya atauza jaman. hebu njoo kwangu nice nikufungie ndani week 3 supu ya moto asubuhi vimchomsho, matunda na mbogamboga 1*3 hayo mashimo usoni yapotee uone kama hawajaanza kukung'ang'ania looo
 
Zikiwa zimepita siku 44 (wiki sita na siku 2) tangu aliyekuwa mnenguaji bei mbaya nchini, Monica Vincent ‘Diana Aston Villa’ afariki dunia, kauli nzito aliyoitoa mwaka jana alipokuwa anaugua, imeanza kuibua viulizo.
Kikubwa kinachotesa ubongo ni kitendawili alichokiacha kuhusiana na majina ya mastaa ambao aliwataja kwamba anakufa lakini nao ni lazima watamfuata.

The Biggest IQ Paper, Ijumaa Wikienda lipo kwenye nafasi nzuri kutoa muongozo wa kile kinachoendelea na jinsi waliotajwa wanavyonyooshewa vidole pasipo wanyooshaji kuwa na ufahamu wa kile kilichokuwemo kwenye kifua cha Diana.

Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’

Waliotajwa na Diana ni mafahari wa muziki wa dansi, Ally Choki ‘Mzee wa Mipango’, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’, Mr. Nice Lucas Mkenda, Steven Mangere ‘Steve Nyerere’ na mkongwe, Abou Semhando ‘Baba Diana’.
Wanenguaji wawili ‘big names’ ndani ya himaya ya Bongoland, Lillian Tungaraza ‘Internet’ na Aisha Mohamed Mbegu ‘Madinda’, wanatimiza orodha ya mastaa waliodaiwa na Diana kwamba akifa wao watamfuata.
Uchunguzi wa Ijumaa Wikienda umebaini kuwa kauli ya Diana kuhusu mastaa hao ni kitendawili kigumu kuteguka kwa sababu hakutoa ufafanuzi wala kueleza tafsiri ya kile alichokizungumza.

Mr. Nice Lucas Mkenda

Aidha, utata wa ugonjwa uliokuwa unamsumbua Diana ni pointi nyingine inayoibua viulizo vingi kwa sababu hakufafanua uhusiano wa maradhi aliyokuwa nayo dhidi ya mastaa aliowataja.
Utata zaidi unachukua nafasi kutokana na ukweli kwamba wote waliotajwa, ni wale ambao waliwahi kuwa watu wake wa karibu kikazi, kimapenzi na hata kirafiki.

Ally Choki ‘Mzee wa Mipango’

Mr. Nice, Steve Nyerere na Banza Stone kwa nyakati tofauti walithibitika kutoka kimapenzi na Diana enzi za uhai wake, huku mtajwa namba moja kwenye aya hii akikoleza undugu kwa kuzaa naye mtoto mmoja.
Kwa upande wa Lillian Internet na Aisha Madinda, wao walikuwa marafiki chanda kwa pete na Diana, kwahiyo kauli yake hiyo inazidi kuchanganya muktadha!

Aidha, Lillian alikuwa mwandani wa Choki, kukosekana kwa ufafanuzi wa Diana juu ya kauli yake na kutokuwepo na vielelezo vinavyoonesha uhusiano wa moja kwa moja na stadi huyo wa dansi ni pointi nyingine inayoshamirisha alama ya kuuliza!

Monica Vincent ‘Diana Aston Villa’

Mbali na urafiki wa mtu na shemejiye, Diana na Choki waliwahi kufanya kazi pamoja wakiwa kwenye Bendi ya African Stars International ‘Twanga Pepeta’.
Alama kubwa ya kuuliza ipo kuhusu Baba Diana, kwa maana kile kinachojulikana ni kwamba mkongwe huyo alikuwa bosi wa Diana Twanga Pepeta, hivyo swali tata ni kwanini alitajwa?
Kutokana utata huo, gazeti hili lilizungumza na baadhi ya watajwa, hivyo kutoa ufafanuzi wao, ingawa karibu wote waliruka kwa maelezo kwamba hata wao hawajui Diana alimaanisha nini.

Akizungumza na gazeti hili wiki iliyopita, Aisha Madinda alisema kuwa suala la kufa ni la kila mtu, hivyo akadai kwamba anaamini Diana alimtaja baada ya kuzidiwa na maradhi.
Alisema: “Kwangu mimi kufa ni kufa ila watu tunaogopa kutangulia. Sijui Diana alimaanisha nini ila nahisi alizidiwa. Unajua mtu akiwa anaumwa anaweza kusema neno lolote bila kukusudia, isitoshe hakunitaja peke yangu.”

Choki alipozungumza na gazeti hili alisema kwamba yeye katika maisha yake hakuwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Diana, hivyo haelewi ni kwanini alitajwa.
“Mimi nilikuwa na uhusiano wa kimapenzi na Lillian Internet ambaye alikuwa rafiki yake, kuna watu ambao mimi nawajua ambao ndiyo hasa wanapaswa kuzungumziwa,” alisema Choki huku akiwataja wasanii wawili maarufu lakini wanahifadhiwa na gazeti hili.

Kwa upande wa Baba Diana, alisema kuwa yeye hajui chochote zaidi ya kuwa kiongozi wake kwenye bendi.
Alisema: “Sikuwahi kupita naye, najua Mr. Nice na Steve Nyerere waliwahi kuwa wapenzi wake na marafiki zake wakubwa ni Lillian Internet na Aisha Madinda.”

Banza Stone a.k.a Mwalimu wa Walimu alidai kwamba hajui chochote kuhusu tafsiri ya kile kilichozungumzwa na Diana, lakini akaeleza kuwa kuhusu kifo yeye hana shida kwa sababu anajitambua kama mareh
 
Hiyo chain ni hatari sana . nice nae alitoka na rehema fabian,rehema nae alitoka na DIAMOND PLATINUMZ. . diamond nae alitoka na.....jumlisha mwenyewe...
 
Katika pita pita yangu nimekutana na picha hii ya hawa wakongwe wawili kuwa pamoja na kuonekana kwamba wamemaliza tofauti zao.

Ni jambo jema,ningependa kuwapa hongera kwa kuwa na uwezo wa kuweka tofauti pembeni na ku move on.

Sema kinachonisikitisha ni muonekano wa mr. Nice,jamaa kaisha vibaya..tumwombee jamani hali inaonekana sio nzuri.

attachment.php

Joomla ModulesJoomla Templates

[h=1]Why Mr Nice Is Returning To Kenya[/h]on 04 July 2014.
BrrjR-lCUAAEsUv.jpg:large

Mr Nice is set to make a return to Kenya for a performance this August after falling out and leaving in a huff sometime last year due to a career threatening fall out with a Kenyan label Grandpa records.
Vibeweekly has learnt that his current record label may have a had a hand in bringing the musician back to Kenya for a show they have organized in Naivasha, The East Africa Community Great Race after party where other Kenyan artists Jua Cali, Moustapha and DNA are set to perform on August 9.
Candy Records management refused to reveal whether Mr Nice was now in good terms with their CEO Joe Kariuki who initially signed him to his label. Rumors emerged that the two had fallen out over contractual agreements but Joe has since refuted those claims saying Mr Nice was still signed to his record label. Speaking to Vibeweekly someone from high echelons of CandynCandy said "We cannot reveal that but we can confirm that Mr Nice will be performing in Naivasha, his differences are with the Joe and not the company, those two are different entities" said our source.
Mr Nice left Grandpa records after what its management termed as breach of contract before signing to rival label CandynCandy Records. The "Kidalipo" singer was in the news earlier this year after a bar brawl left him beaten senseless by a gang in Tanzania

Yea kipindi kile alikuwa top Kenya
Uganda Tanzania Rwanda burundi
Ilikuwa tingisha mbaya. .tena ki halal
Sio bandika bandua. .jamaa alikuwa show zake hata za mchana watoto zinakufuru
Jaza mno. .cd ndo husiongee kauza mpaka basi

Zambia mpaka sasa mwanamziki maarufu toka Tanzania ni Mr.Nice.

Ndio maana mpaka leo wazambia wengi wakimuona Mtanzania wanamtania rafiki, kutokana na Album ya Mr Nice RAFIKI.
 
SUPER STAR COMEDIAN PASTOR MASANJA MKANDAMIZAJI AKIVINJARI NDANI YA MJENGO WAKE WA KIFAHARI WA G.jpg
Hongera Masanja,heri wewe umestuka mapema,wenzako wanalia mda huu.
 
du mr nice mchaga aliye tia aibu. kuliko wote nasikia alinunua kisiwa mafia. akiuze apate apate hela ya kula nakujikimu kidogo...
dudu we naye ushakua mzigo kazi kumwagia watu konyagi na kuwatia ma kofii huna mana tena nenda uka fuge ngo'mbe vizuri uko.. usukumani mziki wako ushapita ivi.... jamani mkubali mkatae kila jambo lina mdaa wake kama ilivyo asubhi na usiku. leo ivi kesho ivi.
 
Very true
 
wewe hapo kiazi wewe...anzisha uzi wako..sio unatumia u senior wako kuhamisha nyuzi za watu
nakufuatilia naona huna kazi

Mkuu umemshambulia tu jamaa,humu kama we ndo wa kwanza kuleta uzi basi atakayeleta Uzi unaofanana wako wanaunganisha,kwahiyo nyuzi zenu zimeungwa pamoja na mods so usimind kivile
 
Dudu baya kafulia hadi anagongea ugoro aisee.
 
Back
Top Bottom