Hatimae Elon Musk kamwaga maji (Jamii ya mijusi)

Wanachofanya watu mijusi ni kuhamisha au ni daraja la kuhamisha mawazo mapya ya ubunifu wa kisayansi, technology, uchumi,siasa kutoka outer world au ulimwengu usioonekana na kuzitransform in real World kwa njia ya idea njozi ndoto nk.
Chochote ukionacho kipya Duniani kilikuwepo zamani ktk outer world ambao ni more advanced kuliko huu really World kwa miaka elf 3 mbele yetu
 
Kwa hio wewe ni mtu nani ?

404: Page Not Found
 
Sijaelewa nimepotea njia aise
Wachopaswa kujua ni kwamba wew ni binadamu asilia ya Mwenyezi MUNGU, lakini unaishi na binadamu ambao ni cursed bloodline iliyopo leo duniani bila kufuata utaratibu wa MUNGU.

Hawa ndio wanakutawala wew na mie katika mfumo wetu wote wa maisha kwanzia elimu,dini,kijamii na kiuchumi. Hivyo wachopaswa kujua ni kwamba huu mfumo wetu wote wa maisha tunayoishi binadamu hapa duniani ni mfumo feki ambao hatukupangiwa kuishi na MUNGU.
 
Hata huyo Elon musk mbona nae ni jamii ya mijusi Kama alivyo George Bush,obama,bil gates,Hittler, Queen Elizabeth nk.
Mijusi ni watu ambao wapo level ya juu yaani illuminated Hawa Huwa na uwezo wa kubadilika sura.
Sasa na mimi mbona ni mjusi lakini nimepauka hadi Mbupu au mi nitakuwa lile limjusi lenye bichwa kuuubwa la kwenye mawe
 
Kuna movie moja ilikuwa inaitwa V, tulikuwa tunaangalia miaka ya 2000 ilikiwa inazungumzia jamii ya watu ambao ni mijusi. Ila sijui kama kizazi iki wanakumbuka maana wengi wao enzi hizo kwao akuna tv, ilikuwa DTV na CNN nadhani.
 

Asa Mungu kwa nini ha retaliate nao?
 
Hapa iyo app ya JF unayo tumia sasa from the begening Ili kuwa kama conspirancy stay tunne 6G itakushangaza 5G imekuja na AI ambayo miaka ya nyuma ilikuwa conspirancy theory

App ya jf ilikuwa conspiracy? Bullshit
I was there wkt wanaanza from scratch.
Labda kama ww ndio ulikuwa hujui but it was not conspiracy
Oh mijusi mijusi pathetic, hizo conspiracy tu
 
App ya jf ilikuwa conspiracy? Bullshit
I was there wkt wanaanza from scratch.
Labda kama ww ndio ulikuwa hujui but it was not conspiracy
Oh mijusi mijusi pathetic, hizo conspiracy tu
😂😂😂 kumbe hata hujui maana maskini ukakomaa na App ya JF
 
Kuna mahali kwenye Biblia Takatifu jambo kama hili la mjusi limetajwa kidogo huwaga nausoma ule mstari halafu Natafakari...

Mithali 30:28
 
Sasa na mimi mbona ni mjusi lakini nimepauka hadi Mbupu au mi nitakuwa lile limjusi lenye bichwa kuuubwa la kwenye mawe
mjusi wa mchongo😂😂 bloodline yao haiwapotei
 
Hapo haikumaanishwa hicho mnachokiwaza.
hapo ni kweli maana tafsi yenyewe iliwashinda elites societies stories kwenye bible hamna au ni vya kudogoa tena kwa vipande, kitabu cha enock chenyewe tu walikiogopa wakina martine wakakitoa.

kuna PDF moja ya mjusi lozerta inasemekana alihojiwa akaachia mambo mazito sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…