Hatimae Flora Mbasha awa Flora Kusweka

Hatimae Flora Mbasha awa Flora Kusweka

Naona kama dada ni shabiki wa ile timu inayowakilisha tz huko gabon
 
Wanawachanganya wapenzi wa nyimbo zao!!

Unawezaje kuimba kwa shangwe msisitizo na kujiamini huku ukishindwa kuishi hata nukta ya maneno/nyimbo zako...?
Wenyewe wanasema fata maneno yangu usifate matendo yangu!!!!
 
"Nilikuwa natamani kupata mume ambaye atanijali na kuniheshimu" - Madam Flora


 
''PENINA UMEAMUA KUOLEWA MARA YA PILI??
ANAMUOA MKE WA MTU HUYU PASTOR!!''
Hayo ni baadhi ya maneno kutoka katika movie ya KANUMBA iitwayo PENINA.
Nimejikuta naikumbuka tu.
Kwa ambaye hakuiona basi amekosa vingi
 
Hatimae aliekuwa mke wa Emanuel Mbasha leo amefunga ndoa na Daudi Kusweka na sasa anatambulika kama Flora Kusweka
View attachment 503172
.
Halafu Kuna watu wanakaza misuli ya shingo eti kanisa ni takatifu. Ati ndoa ni kwa mume mmoja tu hadi kifo kiwatenganishe. Sasa Mbasha kafa? waliofunga hii ndoa ni kanisa, serikali au danguro? Watoa povu njooni hapa kutetea utakatifu wa kanisa.
 
Umesema vyema Nsibhwene ila kuna kitu wengi mnashindwa kutofautisha, kati ya neno kweli na ukweli....kweli ndiye Yesu Kristo, na neno kweli katika Biblia ni tofauti kbs na neno ukweli/kweli ambayo inatumika sana ktk maongezi ya kawaida!
'Kweli itakuweka huru, ikiwa na tafsiri ya Yesu Kristo atakuweka huru'
.
Mathayo 19
9 Nami nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini; naye amwoaye yule aliyeachwa azini.

10 Wanafunzi wake wakamwambia, Mambo ya mtu na mkewe yakiwa hivyo, haifai kuoa.

11 Lakini yeye akawaambia, Si wote wawezao kulipokea neno hili, ila wale waliojaliwa.
.
Kama huyu Yesu(kweli). Hakufanikisha kumweka huyu Flora huru, ni nnani mwingine awezae?
 
Kuna watu wanabahati, kuna wanaoingia kaburini hawajawahi kuvaa gauni hili wengine wanalivaa zaidi ya mara moja. Ninawatakia maisha ya heri na furaha mr and mrs Kusekwa.

Bahati ni pale features za couple zinaendana na mila na tamaduni. Bwana harusi hapo ni mdogo sana kwa Bi harusi, na mbele ya safari (Mwenge-Posta) kama baada ya vituo viwili hivi kutoka Mwenge atataka kupanda Vitz (lazima atarudi kwenye senses zake na ataona size yake) na si Coaster tena.

Halafu huyo Bwana harusi anajishughulisha na nini?
 
Bahati ni pale features za couple zinaendana na mila na tamaduni. Bwana harusi hapo ni mdogo sana kwa Bi harusi, na mbele ya safari (Mwenge-Posta) kama baada ya vituo viwili hivi kutoka Mwenge atataka kupanda Vitz (lazima atarudi kwenye senses zake na ataona size yake) na si Coaster tena.

Halafu huyo Bwana harusi anajishughulisha na nini?
Hapo mwisho jibu utakalopata litakufamya uelewe kwanini kijana ameoa
 
Back
Top Bottom