Hatimae Flora Mbasha awa Flora Kusweka

Hatimae Flora Mbasha awa Flora Kusweka

6c5d076f79f20ce56cfccb4813b3ed29.jpg

Soma aya ya 7.
Tusimhukumu sana maana kwa hukumu zetu nasi tutapimwa.Aliye msafi na amseme Flora, ila kama u mchafu kama mimi, tumuombe Mungu rehema.
 
Tumsifu Yesu Kristo

Naomba kuchangia,
Kwamba
Jambo hili ni gumu na inabidi lijadiliwe kwa kutanguliza upendo
Biblia inaposema aliloliunganisha Mungu Mwanadamu asitenganishe inamaanisha kuwa ndoa ni agizo la Mungu na yeye ndo muasisi wa ndoa, mwanadamu hana uwezo wa kulitengua agano la ndoa
"Mtu atawaacha wazazi na ataambatana na mkewe nao watakuwa mwili mmoja" fullstop.

Ni kweli Biblia hairuhusu kuachana hata kwa kosa gani ila kukitokea Kifo au Uzinzi wa kuendelea basi ndoa inaweza kutenguka

Hapa kwanza inabidi upendo uchukue nafasi, hata kama mwanandoa akizini anapaswa kusamehewa saba mara sabini, akiomba msamaha

Labda kama haonyeki anaendeleza uzinzi labda kama mwanamke kaamua kujiunga na biashara za umalaya wa magoti hapo kweli talaka inabidi itolewe.

Hapa mi naliona kosa liko kwa Emmanueli Mbasha na sio Frola.
Biblia inampa Mwanaume uwezo wa kuoa, kutunza ndoa na kutoa taraka.
Mimi nilikuwa na ndugu yangu alisafiri miaka miwili kwenda kutafuta maisha mjini. Alivyorudi akamkuta mkewe ana mimba ya uzinzi. Baadhi ya ndugu walimshauli atoe talaka lakini yeye alikataa akasema kosa ni lake na kwakuwa mkewe amemwomba msamaha amemsamehe, hadi leo wapo katika ndoa yao na mtoto amekua amesoma na ameolewa huko Arusha.
Hivi ndo Biblia inavyotaka, na sio umemfumania maramoja basi vita, ngumi, taraka, chiki, uhasama, maneno, jeuri nk hakuna msamaha,
Hapana wandugu katika Kristo

Mbasha ilibidi aimudu ndoa yake na sio kusingizia mke kamkosea.
Anakoseaje na wewe upo? Jukumu lako ni kumwongoza mkeo kwa akili na maarifa.

Kwaupande wa mke, huko kuna taraka nyingi tu.
Mume akiwa kichaa na kushindwa tendo la ndoa, ndoa inavunjwa,
Mume akiwa hanithi yaani, mume unaoa siku ya harusi unaonekana hanithi ndoa inavunjwa,
Mume akiwa anampiga mkewe kilasiku na hasikii maonyo ya kanisa wala ya watu ndoa inavunjwa nk.

Sisi wanaume tumeamriwa kuwachukulia wake zetu kwa heshima na msamaha ili tudumishe ndoa zetu.

Tunaruhusiwa kutoa taraka pale tu penye uzinzi wa makusudi na usiokubali maonyo ya mamlaka na kanisa.

Kama Kristo anavyo tupenda na tunamwita Bwana na Kiongozi wetu hivyo hivyo sisi wanaume ni Mabwana na viongozi wa wanawake,

Tumeamriwa na Mungu tuwaongoze kwa kutanguliza upendo, unyenyekevu, busara, hekima na msamaha.

Amina
 
Kosa la mbasha ni lipi ikiwa mke amemkataa na kwenda kudai talaka mahakamani? mpaka Flora kuamua kutoka ndani mbasha unajua amevumilia mangapi? Florah alisha mkinai mbasha akaanza kumsingizia kesi tena mbaya kabisa ya ubakaji ambayo ni jela miaka 30 na zaidi alipo ona mbasha amekutwa hana hatia yupo huru kaenda kudai talaka, hata Mungu kwa hili hawezi kumuhukumu Mbasha kwa kutoa talaka maana Flora angeweza hata kumuua mbasha ili awe huru, mwache aolewe.
 
Wewe acha kumdanganya na kuudanganya umma. Hiki ni kituko. Ni kinyume na dini yake. Kitendo hiki kipashwa kukemewa kwa ukali sana. Kwa ufupi FLORA kwa sasa ana wanaume wawili na hii inaitwa UKAHABA.
Hakuna adanganyaye hapa na hakuna anayeweza kulithibitisha hilo unalotaka kutuaminisha kuhusu ndoa. Huwezi kuishi maisha ambayo yanamakwazo mwanzo mwisho ati ukajidanganya kuwa katika mazingira hayo unaweza kumtukuza Mungu.
Na nani kakwambia kwamba Flora kwa uamuzi huo atakuwa kahaba katika maisha yake? Suala la maisha ni kitendawili kigumu sana ndio maana hata wajuvi wa dini wakaamua kutuficha baadhi ya mambo mazito yaliyo nyuma ya maandiko kwa sababu kuna a lot of confusion. Huwezi kuendelea kuishi na mtu ambaye unaona kabisa ni makwazo mwanzo mwisho. Yule amkwazaye aliyefanywa kuwa mwana ni heri akafungwa jiwe la kusagia na kumtosa katika kina kirefu cha bahari. Kwa maana hiyo, Neno la Mungu halijakaa kimya kwa wakwazao wenzao, kuna adhabu kwa wakwazao wana wa Mungu. Hapa ama ni Mbasha katoswa kwenye kina kirefu au ni flora.
Katika makwazo ya kimahusiano utawezaje kumtumikia Mungu katika roho na kweli. Zaidi utakuwa ni unafiki. Ndio maana hata katika ufunuo wa Yohana ujumbe kwa kanisa LA saba ilikuwa ni akheri uwe moto au baridi maana ukiwa vuguvugu nitakutapika utoke kinywani mwangu.
Flora amekuwa ama moto au baridi na sio vuguvugu. Sasa ni Mungu mwenyewe anajua kati ya baridi na moto kipi ni chake. Akili na mawazo ya Mungu sio ya binadamu. Huenda unayemtuhumu na kumhukumu Flora umekuwa vuguvugu.
 
Kuna watu wanabahati, kuna wanaoingia kaburini hawajawahi kuvaa gauni hili wengine wanalivaa zaidi ya mara moja. Ninawatakia maisha ya heri na furaha mr and mrs Kusekwa.
Njoo nikuvalishe basi
[emoji1] [emoji1]
 
Nilichogundua Frola anapenda sana wanaume walefu, kama nihivi wanaume walefu tunafaidi maana halichachi!
 
Kwani yule mtoto alomzaa hakugegedwa ?? Sasa dushe lipi unalosema. Huyu mama nilimbukeni hata huyo dogo hata dum nae. Akatokea tena mwingine mweupe hb mrefu anabeba.
Asingefunga ndoa angeonekana hajatulia kutembea na wanaume. Mimi ningekuwa yeye nisingefanya hiyo ndoa matangazo. Maana anachoambulia sasa ni kejeli mitandaoni. Namuonea huruma hako kaben 10 kake!
 
Nlitamani kuona na kuckia Flora akiapa tena kuwa, '......mpaka hapo kifo kitakapowatenganisha'[emoji50]! Najiuliza tu, alipofika ktk maneno hayo hakufikiri chochote kabla ya kusema 'nakubali'!!!
 
Flora kaweka historia kwa waimbaji wa nyimbo za injili kuolewa marambili.

Kilichounganishwa na Mungu binadamu hawezi kukitenganisha.....Hehehe nani kasema....?
Hata mimi wananichanganya!!!
 
Back
Top Bottom