Hatimae Flora Mbasha awa Flora Kusweka

Hatimae Flora Mbasha awa Flora Kusweka

Bora yeye kuliko wengine wanatengana na kila mtu anazini kivyake halafu kwenye harusi za watoto wao uwaona wanakuja et wazazi,unafiki mtupu.
 
6c5d076f79f20ce56cfccb4813b3ed29.jpg

Soma aya ya 7.
Yaani umenena mkuu. Napigia mistari. Acha Waianae lakini malipo ni hapahapa duniani
 
Hivi mchungaji aliyefungisha alikuwa hajui kuwa flora ni mke wa mtu au ndo alishikishwa mtonyo wa maana.....Tutasema ni mchungaji kumbe ni maigizo tu......
Makanisa ya Gwajima hayo
 
Haina makombo boss.
Fikra zako tu.
Hata hapo unapopita wewe wenzio kibao wanapita hapo hapo.
You can not say for sure, lakini huyu amezaa umati wote unaona, ushahidi usio na mashaka!
 
Sasa akatulie kwenye ndoa atutaki kusikia akilia lia tena mara [emoji125] anaonewa, sijui mwanaume anamnyanyasa, sijui mwanaume anataka wasichana wengineo.
Na yule dogo Lazima atataka kupata watoto angalau wawili, sasa sijui Flora Mbasha atakuwa tayari

Yule dogo ndio maana ata katika harusi ana amani akiwaza vitu kama ivyo anakuwa ana amani, na ukijumlisha ndugu tayari washampaka mineno yetu ya kiafrika basi hata katika katika harusi ndio maana kama kapigwa sindano ya ganzi,

Ujumbe wako ni mzuri.Hata hivyo,haujafika vizuri kwa sababu unapotaka kukataa kwa kutumia neno "hana" wewe umetumia "ana" na bado "hata" kuna sehemu umesema "ata".Ni kosa la kawaida sana lakini kubwa kwenye lugha adhimu ya Kiswahili.Samahani kama nitakuwa nimekukwaza,sina nia mbaya.
 
Dini ni moja tu na mitume wote walikuwa kitu kimoja ila tatizo ni sie wenyewe tu.
 
Back
Top Bottom