Hatimae Flora Mbasha awa Flora Kusweka

Hatimae Flora Mbasha awa Flora Kusweka

We live by the choice we make not by chance
Kama hakuwa na furaha nara ya kwanza kwa nini ang'ang'anie kuishi na mbasha?? Hatujui nini kilitokea mpaka kaamua kumuacha tena kwa kumbambikia kesi afu ukitanguliza hisia hili swala huwezi kuona clear picture
Afu mbasha nae kulalamika kumekuwa kwingi inaashiria low self esteem anajifanya anajifanya kuposti picha na mtoto watu wamuonee huruma
Yaani anaonekana desperate hizo mambo huwa wanafanya wanawake mwanaume ukifanya hivo unaonyesha kutojiamini watoto wa kike huku usukumani unakuacha mara moja
Yaaani we acha tu, watu kimewauma utasema walikua katikati yao wakilala usiku,

Angekua Mbasha ndio kaoa angesapotiwa, ila kwa kua ni Flora maneno kibaoooooooo,

Mwanamke sharti asimame imara asikubali kuyumbishwa.
 
  • Thanks
Reactions: 314
Jamaa kama kalazimishwa vile kweli vijana wa bongo walaini sana wanaburuzwa kama watoto? Sijui ni umaskini, lack of confidence? Am confused
 
KAMA ni makusud ya mwenyezi MUNGU wa mbinguni, tupo kama mashuhuda, but kama sio yeye ni MUNGU hutanguae ishara za waovu, mikono yao isitimize makusud yao. Yeye ni MUNGU ajuae mawazo yetu kabla ya kesho
 
Walifunga Ndoa kanisani

Kama kweli alifunga ndoa,,,,,basi iyo ya sasa ni batili na mm naitengua ktk ulimwengu wa roho na natangaza kuwa ni batili,,,,,,,,na huyo mchungaji aliyefungisha ndoa nae atakua ni fake pastor.

Amefungia ndoa kanisa gani????
 
Katukanisha dini yetu huyu... Kuanzia sasa ni haramu... Bible inasema mwanamke au mwanaume akimwacha mkewe au mmewe bas na asiolewe tena.. Kinyume na hapo atakuwa kahaba, mzinifu, malaya, haramu na mengine yaendanayo na hayo..... Kwaiyo wewe Dada ni haramu, ukimgusa mtu inabidi akanawe.
 
Sasa akatulie kwenye ndoa atutaki kusikia akilia lia tena mara [emoji125] anaonewa, sijui mwanaume anamnyanyasa, sijui mwanaume anataka wasichana wengineo.
Na yule dogo Lazima atataka kupata watoto angalau wawili, sasa sijui Flora Mbasha atakuwa tayari

Yule dogo ndio maana ata katika harusi ana amani akiwaza vitu kama ivyo anakuwa ana amani, na ukijumlisha ndugu tayari washampaka mineno yetu ya kiafrika basi hata katika katika harusi ndio maana kama kapigwa sindano ya ganzi,
 
MTU hufungwa kwa kamba za kinywa chake! Ukiapa inakuwa hivyo hata kama ulikuwa unadhani unatania! Ukiunganishwa umeunganishwa maana umetoa nafasi kwa kinywa chako kuunganishwa! Suala kuwa ulikuwa unadanganya halipo Bali ulikuwa unaidanganya nafsi yako mwenyewe! Na utavuna matunda ya udanganyifu kwa kujifunga kwenye ndoa mpaka kifo kikutenganishe! Vinginevyo utakuwa umeikana IMANI na sahau habari ya kufika mbinguni!
Mbinguni unakujua wewe?
 
Back
Top Bottom