Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Mambo ya miamala ndani ya ajira isio rasmiAtavuna muda sio mrefu, huenda kijana kufuata pesa tu na visichana vyake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya miamala ndani ya ajira isio rasmiAtavuna muda sio mrefu, huenda kijana kufuata pesa tu na visichana vyake
Ni ukweli mchungu lakini usemwe kwa upendo! Mungu awape kuyatengeneza! Flora (aliyedai talaka mahakamani) amrudie Mbasha! Hilo linawezekana maana hakuna lisilowezekana kwa Mungu!Wewe acha kumdanganya na kuudanganya umma. Hiki ni kituko. Ni kinyume na dini yake. Kitendo hiki kipashwa kukemewa kwa ukali sana. Kwa ufupi FLORA kwa sasa ana wanaume wawili na hii inaitwa UKAHABA.
Siyo kweli! Mfano mmoja mbovu hauwezi kuwa kielelezo cha jamii kubwa sana ya walokole/wakristo wa kweli!Walokole wengi mambo yao ni ya chini chini
Siyo kweli! Mfano mmoja mbovu hauwezi kuwa kielelezo cha jamii kubwa sana ya walokole/wakristo wa kweli!Walokole wengi mambo yao ni ya chini chini
Ni ukweli mchungu lakini usemwe kwa upendo! Mungu awape kuyatengeneza! Flora (aliyedai talaka mahakamani) amrudie Mbasha! Hilo linawezekana maana hakuna lisilowezekana kwa Mungu!
Huyu dogo amejivika jukumu la kulea mke wa mtu! Japo sina uhakika kama analea au analelewa!
je Flora alipima UKIMWI. kulikuwa na rumours kwamba ni jumlisha.
Tatizo huko chini hakuwezi kuishi na upwekeNi aibu kwake biblia imesema alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe,
lakini pia mtume paulo kashauri ingekuwa bora kama ingewezekana kuishi bila koa au kuolewa Bali kumutumikia Mungu.
Sasa kama ndoa imesumbua kwa nini asingeamua kukaa peke yake na kumutumika Mungu?
Hujawahi kuona maiti iliyopakwa poda?Duuu...mkuu punguza ukali wa maneno
40 net.Flora kamzidi miaka mingap huyo dogo
Nyege nyege NgungaNi aibu kwake biblia imesema alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe,
lakini pia mtume paulo kashauri ingekuwa bora kama ingewezekana kuishi bila koa au kuolewa Bali kumutumikia Mungu.
Sasa kama ndoa imesumbua kwa nini asingeamua kukaa peke yake na kumutumika Mungu?
Naona unamtetea Fuska Flora Mbasha (FFM)Kila LA kheri Flora. Maisha ni yako ma maisha ni wewe. Huwezi kuishi maisha ya wengine maana utakuwa mtumwa wa wengine hadi kufa. Umefanya uamuzi sahihi, songa mbele na endelea kumtukuza Mungu maana kila jambo lina maana yake. Mipango ya Mungu sio ya mwanadamu.
Usiruhusu mtu yeyote awaye kuhoji juu ya maisha yako. It's you and only you.
Ni kweli kabisa ni UKAHABAWewe acha kumdanganya na kuudanganya umma. Hiki ni kituko. Ni kinyume na dini yake. Kitendo hiki kipashwa kukemewa kwa ukali sana. Kwa ufupi FLORA kwa sasa ana wanaume wawili na hii inaitwa UKAHABA.
Nani alikuambia Biblia ina vifungu? Imekuwa katiba?Biblia imetoa kifungu gani cha utaratibu wa kufungisha ndoa?.Hebu ntajie kifungu.