Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mtu akizaa ndo anakuwa na kinyaa?You can not say for sure, lakini huyu amezaa umati wote unaona, ushahidi usio na mashaka!
Tusimhukumu sana maana kwa hukumu zetu nasi tutapimwa.Aliye msafi na amseme Flora, ila kama u mchafu kama mimi, tumuombe Mungu rehema.![]()
Soma aya ya 7.
Kosa la mbasha ni lipi ikiwa mke amemkataa na kwenda kudai talaka mahakamani? mpaka Flora kuamua kutoka ndani mbasha unajua amevumilia mangapi? Florah alisha mkinai mbasha akaanza kumsingizia kesi tena mbaya kabisa ya ubakaji ambayo ni jela miaka 30 na zaidi alipo ona mbasha amekutwa hana hatia yupo huru kaenda kudai talaka, hata Mungu kwa hili hawezi kumuhukumu Mbasha kwa kutoa talaka maana Flora angeweza hata kumuua mbasha ili awe huru, mwache aolewe.Tumsifu Yesu Kristo
Naomba kuchangia,
Kwamba
Jambo hili ni gumu na inabidi lijadiliwe kwa kutanguliza upendo
Biblia inaposema aliloliunganisha Mungu Mwanadamu asitenganishe inamaanisha kuwa ndoa ni agizo la Mungu na yeye ndo muasisi wa ndoa, mwanadamu hana uwezo wa kulitengua agano la ndoa
"Mtu atawaacha wazazi na ataambatana na mkewe nao watakuwa mwili mmoja" fullstop.
Ni kweli Biblia hairuhusu kuachana hata kwa kosa gani ila kukitokea Kifo au Uzinzi wa kuendelea basi ndoa inaweza kutenguka
Hapa kwanza inabidi upendo uchukue nafasi, hata kama mwanandoa akizini anapaswa kusamehewa saba mara sabini, akiomba msamaha
Labda kama haonyeki anaendeleza uzinzi labda kama mwanamke kaamua kujiunga na biashara za umalaya wa magoti hapo kweli talaka inabidi itolewe.
Hapa mi naliona kosa liko kwa Emmanueli Mbasha na sio Frola.
Biblia inampa Mwanaume uwezo wa kuoa, kutunza ndoa na kutoa taraka.
Mimi nilikuwa na ndugu yangu alisafiri miaka miwili kwenda kutafuta maisha mjini. Alivyorudi akamkuta mkewe ana mimba ya uzinzi. Baadhi ya ndugu walimshauli atoe talaka lakini yeye alikataa akasema kosa ni lake na kwakuwa mkewe amemwomba msamaha amemsamehe, hadi leo wapo katika ndoa yao na mtoto amekua amesoma na ameolewa huko Arusha.
Hivi ndo Biblia inavyotaka, na sio umemfumania maramoja basi vita, ngumi, taraka, chiki, uhasama, maneno, jeuri nk hakuna msamaha,
Hapana wandugu katika Kristo
Mbasha ilibidi aimudu ndoa yake na sio kusingizia mke kamkosea.
Anakoseaje na wewe upo? Jukumu lako ni kumwongoza mkeo kwa akili na maarifa.
Kwaupande wa mke, huko kuna taraka nyingi tu.
Mume akiwa kichaa na kushindwa tendo la ndoa, ndoa inavunjwa,
Mume akiwa hanithi yaani, mume unaoa siku ya harusi unaonekana hanithi ndoa inavunjwa,
Mume akiwa anampiga mkewe kilasiku na hasikii maonyo ya kanisa wala ya watu ndoa inavunjwa nk.
Sisi wanaume tumeamriwa kuwachukulia wake zetu kwa heshima na msamaha ili tudumishe ndoa zetu.
Tunaruhusiwa kutoa taraka pale tu penye uzinzi wa makusudi na usiokubali maonyo ya mamlaka na kanisa.
Kama Kristo anavyo tupenda na tunamwita Bwana na Kiongozi wetu hivyo hivyo sisi wanaume ni Mabwana na viongozi wa wanawake,
Tumeamriwa na Mungu tuwaongoze kwa kutanguliza upendo, unyenyekevu, busara, hekima na msamaha.
Amina
Hakuna adanganyaye hapa na hakuna anayeweza kulithibitisha hilo unalotaka kutuaminisha kuhusu ndoa. Huwezi kuishi maisha ambayo yanamakwazo mwanzo mwisho ati ukajidanganya kuwa katika mazingira hayo unaweza kumtukuza Mungu.Wewe acha kumdanganya na kuudanganya umma. Hiki ni kituko. Ni kinyume na dini yake. Kitendo hiki kipashwa kukemewa kwa ukali sana. Kwa ufupi FLORA kwa sasa ana wanaume wawili na hii inaitwa UKAHABA.
Njoo nikuvalishe basiKuna watu wanabahati, kuna wanaoingia kaburini hawajawahi kuvaa gauni hili wengine wanalivaa zaidi ya mara moja. Ninawatakia maisha ya heri na furaha mr and mrs Kusekwa.
Uhuru Jr mambo?Unahukumu tena na kuombea mabaya ndio ukristo huo?
Akiachika jisogezeFlorah anataka damu changa tu, huyu nae akikaribia miaka 40 nae ataachwa tu..
Kwa nani mkuu flora au kusekwa?!Akiachika jisogeze
Asingefunga ndoa angeonekana hajatulia kutembea na wanaume. Mimi ningekuwa yeye nisingefanya hiyo ndoa matangazo. Maana anachoambulia sasa ni kejeli mitandaoni. Namuonea huruma hako kaben 10 kake!Kwani yule mtoto alomzaa hakugegedwa ?? Sasa dushe lipi unalosema. Huyu mama nilimbukeni hata huyo dogo hata dum nae. Akatokea tena mwingine mweupe hb mrefu anabeba.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asiseeee umenivunja mvavu mkuu, kwamba inapwaya sio!
Nmeona CV kw watsap, amezaliwa na kusomea Kahama, amemeliza form4 mwaka juz na ana umri wa miaka24...Dogo mbona kama kaolewa yeye..mwenye cv ya dogo pls
Hata mimi wananichanganya!!!Flora kaweka historia kwa waimbaji wa nyimbo za injili kuolewa marambili.
Kilichounganishwa na Mungu binadamu hawezi kukitenganisha.....Hehehe nani kasema....?