Hatimae Flora Mbasha awa Flora Kusweka

Bora huu ujinga urudi usukumani labda mtawezana.
Si wanasemaga aliyezaa ndo mwenye uzazi eti !!
Makanisa ya kilokolle aibu mnayoooo.
 
Wakristu si huwa ndoa moja mpaka kifo ndo kinatenganisha...mbona hawa hivyo tena?
 
Mkuu mihogo mitamu lkn [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mlitaka aishi bila dushe? Mwacheni banaa! Tatizo lake ni kiutangaza sana hiyo ndoa angepiga kimya kimya!
 
Ila mang'aa kajidhihirisha mwenyewe mwangani. Utaficha matabia yako weee lakini mwishoni yatakushinda utayaweka hadharani tu..
 
Ila mang'aa kajidhihirisha mwenyewe mwangani. Utaficha matabia yako weee lakini mwishoni yatakushinda utayaweka hadharani tu..
 
Wacha aendelee kugawa kibumbu uwezi jua kesho labda ni zamu yako!
 
Naomba ufafanuzi kidogo..... Hivi huyu Dada si alifunga ndoa na Mbasha imekuaje anafunga na mwingine wakati yule hajafa? Au ukristo unatofautiana na ule wa hawa warumi?
 
Dah wacha tu..mambo ya wanawake mazito sana

Ningekuwa na pesa ningekuwa km ronaldo tu kuchafua vipapa vya vya warembo mjini then kuzaa nazaa na house girl au mhudumu wa hotel nampa milioni 5 aniachie mwanangu

No broken heart anymore maza faka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…