Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
Umeongea ukweli shost.Huruma kwa watoto lakini hongereni kwa kila mmoja kuipambania furaha yake, naimani huko mbeleni mtarekebisha makosa yenu na kurudisha familia pamoja,
Again, Watoto ndio waathirika wakuu wa talaka
Ukiwmua kufànya umalàya wewe fanya, usitafute sàbabu eti mbona wànaume wànafanya.Wanaona wanawake wana mioyo ya chuma na wanatakiwa kutendewa kila aina ya unyanyasaji. Wanasahau kuwa hata chuma huwa kinapata kutu with time.
Hakuna mke unayeweza kumuita Golikipa. Anapobaki nyumbani anashinda amelala tu na kuangalia TV? Mwanamke anaamka asubuhi anaandaa watoto kwenda shule, anakuandalia kila kitu uende kwenye mihangaiko yako; anasafisha nyumba, anapika, anafua, anahakikisha kila kitu ndani ya nyumba kinakaa sawa. Unarudi nyumbani kutoka ulikokuwa anakupokea na kukuandalia chakula, una-relax na kuwa na akili ya kuendelea kutafuta mkate wa kesho na kwa watoto anafanya hivyo. Leo wewe ni wa kumuita Golikipa!!!! Hivyo vyote anavyofanya unaona SIYO kazi???? Wanaume mna matatizo sana ya uelewa na ni wabinafsi sana.Ndio maana sisicm watibeli hatuwezi kuishi na mwanamke Golikipa, kumlisha mtu, na kumtunza ili mwisho wa siku ikitokea anataka Uhuru wake mnagawana Kiroho Safi kwani naye alitoa jasho kuzalisha Mali
Tofauti na uoe Golikipa ambaye akitaka Talaka anataka mgawo wa Mali Roho inaanza kukutoka.
Watibeli Talaka haituumi kwani tayari tulishachora michoro tangu mwanzoni
Na hiyo miaka 15 nyuma usiache kujiuliza mambo gani ambayo amekua akifanya yeye.Turudi nyuma miaka 15 ya ndoa yao mambo gani alikua anamfanyia mkewe.
Hakuna mahali popote nimetetea umalaya. Si kwa mwanamke wala mwanaume. Soma texts kwa utulivu kijana.Ukiwmua kufànya umalàya wewe fanya, usitafute sàbabu eti mbona wànaume wànafanya.
Ni maamuzi yako usitafute uhalali wa kuws malaya kisà mwanaume nae ni malaya.
This victim mindset mdogo angu, itaku cost sana kwenye maisha usipokua makini.Hayo mambo ya mwanamke pekee ndie akae kuilinda familia siku hizi hayapo.
Wote tulinde familia mwanamke na mwanaume.
Ndio maana talaka ni nyingi siku hizi sbabu wanawake wengi hawapo tayari kuteseka kwa kigezo cha kulinda familia.
Nami nili lisemea na kumkumbusha hilo, he said ana elewa umuhimu wake.Huruma kwa watoto lakini hongereni kwa kila mmoja kuipambania furaha yake, naimani huko mbeleni mtarekebisha makosa yenu na kurudisha familia pamoja,
Again, Watoto ndio waathirika wakuu wa talaka
Hakika 😅😅Unahitaji msaada wa kutibu akili mkuu
Unahitaji msaada wa kutibu akili mkuu
Sawa, yaweza kuwa kweli siko sawa. Ngoja tuone
Kuna mmoja nili mpangisha kwenye eneo langu 1, yaani hata kwenye kulipa gharama za usafi she start saying ni kubwa, hela hamna😆😂This victim mindset mdogo angu, itaku cost sana kwenye maisha usipokua makini.
Hakuna mke unayeweza kumuita Golikipa. Anapobaki nyumbani anashinda amelala tu na kuangalia TV? Mwanamke anaamka asubuhi anaandaa watoto kwenda shule, anakuandalia kila kitu uende kwenye mihangaiko yako; anasafisha nyumba, anapika, anafua, anahakikisha kila kitu ndani ya nyumba kinakaa sawa. Unarudi nyumbani kutoka ulikokuwa anakupokea na kukuandalia chakula, una-relax na kuwa na akili ya kuendelea kutafuta mkate wa kesho na kwa watoto anafanya hivyo. Leo wewe ni wa kumuita Golikipa!!!! Hivyo vyote anavyofanya unaona SIYO kazi???? Wanaume mna matatizo sana ya uelewa na ni wabinafsi sana.