Hatimae hukumu imetoka tayari, siku ya kwanza tu ya kesi kusikilizwa

Hatimae hukumu imetoka tayari, siku ya kwanza tu ya kesi kusikilizwa

Ndio maana sisicm watibeli hatuwezi kuishi na mwanamke Golikipa, kumlisha mtu, na kumtunza ili mwisho wa siku ikitokea anataka Uhuru wake mnagawana Kiroho Safi kwani naye alitoa jasho kuzalisha Mali

Tofauti na uoe Golikipa ambaye akitaka Talaka anataka mgawo wa Mali Roho inaanza kukutoka.

Watibeli Talaka haituumi kwani tayari tulishachora michoro tangu mwanzoni
 
Kiuhalisia kuna ile tabia mtu una makandokando yako mwenzio anakuvumilia siku akijibu mapigo unahisi wewe ndo umeonewa...hakuna watu hatari kama mwanandoa anayebeba maudhi mengi ya mwenzi wake, Mleta mada nahisi kuna kandokando kadhaa za kwake hajasema or may be bidada alikuwa mchepukaji wa siri sana.

Fanton Mahal huna kando kando kweli hata mmoja mkuu kweli may be "YF" lilimfanya aamue mpaka ukaotea uchafu wake.

Hebu fungua hilo 📂 toa hata kando moja mkuu haiwezekani hata kidogo.
 
Wanaona wanawake wana mioyo ya chuma na wanatakiwa kutendewa kila aina ya unyanyasaji. Wanasahau kuwa hata chuma huwa kinapata kutu with time.
Ukiwmua kufànya umalàya wewe fanya, usitafute sàbabu eti mbona wànaume wànafanya.
Ni maamuzi yako usitafute uhalali wa kuws malaya kisà mwanaume nae ni malaya.
 
Ndio maana sisicm watibeli hatuwezi kuishi na mwanamke Golikipa, kumlisha mtu, na kumtunza ili mwisho wa siku ikitokea anataka Uhuru wake mnagawana Kiroho Safi kwani naye alitoa jasho kuzalisha Mali

Tofauti na uoe Golikipa ambaye akitaka Talaka anataka mgawo wa Mali Roho inaanza kukutoka.

Watibeli Talaka haituumi kwani tayari tulishachora michoro tangu mwanzoni
Hakuna mke unayeweza kumuita Golikipa. Anapobaki nyumbani anashinda amelala tu na kuangalia TV? Mwanamke anaamka asubuhi anaandaa watoto kwenda shule, anakuandalia kila kitu uende kwenye mihangaiko yako; anasafisha nyumba, anapika, anafua, anahakikisha kila kitu ndani ya nyumba kinakaa sawa. Unarudi nyumbani kutoka ulikokuwa anakupokea na kukuandalia chakula, una-relax na kuwa na akili ya kuendelea kutafuta mkate wa kesho na kwa watoto anafanya hivyo. Leo wewe ni wa kumuita Golikipa!!!! Hivyo vyote anavyofanya unaona SIYO kazi???? Wanaume mna matatizo sana ya uelewa na ni wabinafsi sana.
 
Hayo mambo ya mwanamke pekee ndie akae kuilinda familia siku hizi hayapo.
Wote tulinde familia mwanamke na mwanaume.

Ndio maana talaka ni nyingi siku hizi sbabu wanawake wengi hawapo tayari kuteseka kwa kigezo cha kulinda familia.
This victim mindset mdogo angu, itaku cost sana kwenye maisha usipokua makini.
 
Huruma kwa watoto lakini hongereni kwa kila mmoja kuipambania furaha yake, naimani huko mbeleni mtarekebisha makosa yenu na kurudisha familia pamoja,

Again, Watoto ndio waathirika wakuu wa talaka
Nami nili lisemea na kumkumbusha hilo, he said ana elewa umuhimu wake.

ila tusi sahau yeye ndiye victim kwa hili, freedom ndio prize pekee anayo stahili.
 
Sawa, yaweza kuwa kweli siko sawa. Ngoja tuone

Achana naye huyo.

Anajaribu kumpa umuhimu huyo mwanamke uliyemtaliki.

Matumizi yake yalishaisha.
Ashakuzaliwa watoto inatosha. Kila mtu apite kivyake.

Fanya maisha sasa hivi.
Ngono iwe starehe unayoweza kuipata popote tena kwa wasichana wabichi Kabisa.

Usisahau kujikinga
 
Hakuna mke unayeweza kumuita Golikipa. Anapobaki nyumbani anashinda amelala tu na kuangalia TV? Mwanamke anaamka asubuhi anaandaa watoto kwenda shule, anakuandalia kila kitu uende kwenye mihangaiko yako; anasafisha nyumba, anapika, anafua, anahakikisha kila kitu ndani ya nyumba kinakaa sawa. Unarudi nyumbani kutoka ulikokuwa anakupokea na kukuandalia chakula, una-relax na kuwa na akili ya kuendelea kutafuta mkate wa kesho na kwa watoto anafanya hivyo. Leo wewe ni wa kumuita Golikipa!!!! Hivyo vyote anavyofanya unaona SIYO kazi???? Wanaume mna matatizo sana ya uelewa na ni wabinafsi sana.

Watu wameajiri wafanyakazi WA ndani, watunzi bustani, n.k.
Au wewe unaishi wapi?

Watu wafanye Kazi
 
Back
Top Bottom