Hatimae hukumu imetoka tayari, siku ya kwanza tu ya kesi kusikilizwa

ya nini bana!
Hakuna mshtaki huyo Hakimu Mfawidhi ajisomee tu hiyo kama case study, kuna watu Mali sio miongoni mwa vitu vya kujeruhi nafsi.
Mi nimemwelewa mno!
 
Mkuu ahsante sana.
Niseme tu japo sijui sheria, ila kila ulichouliza hapo juu, kilizingatiwa.

Ujue, nikaja kuelewa kwann kesi ya ndoa eapecially kwenye madai ya talaka lazima ifunguliwe kupitia form no.3 ambayo hutolewa na baraza la usuluhishi la kata.
Kesi ya ndoa mpaka inafika mahakamani, ni lazima ipite hatua zifuatazo kutafuta suluhu

Mjumbe
Dawati la jinsia la polisi
Kwa viongozi wa dini
Vikao vya familia
Baraza la kata.

Hizi aote ni hatua za kunusuru kuvunjika ndoa.
Mpaka kesi inashindikana Baraza la kata, wao wanaandika muhtasari ambao ndio unatumika kama msingi wa madai.
Kwahiyo hakimu haanzii tu juu juu.

Kwahiyo
Mali zilitajwa
Watoto walitajwa kwa majina na idadi na umri wao

Kuhusi mashahidi mahakama inaeleza wazi kupitia wito wa keai kwamba lazima uje na mashahidi hivyo usipokuja nao unatoa maelezo.

LAkini kubwa zaidi mahakama ilitupa uhuru wa kama tunataka kwenda kwa ushahidi au tunakubalina ili mambo yasiwe mengi, mahakama inawasikiliza. Na hayo yooote yalizingatiwa mkuu.

Na kiukweli sikuona procedure ambazo hazikufuatwa.
 
Sikusoma Uzi wa kwanza ila niseme tu umekutana na vita!
Muktadha wa madaraka uliosema ni matokeo ya woman empowerment hata hivyo Hilo ni tone tu baada ya miaka 50 kutoka Sasa wanaume watakuwa kwenye ujenzi na kuchimba mitaro plus labda u driver
Na miaka 50 ijayo AI ndio itakuja na mfumo mpya wa kazi bila binadam ucjali
 
Kibaya zaidi akiachika na mchepuko anamuacha kwani mchepuko anaogopa atapewa majukumu kamili ya ulezi
Hili limeumiza wanawake wengi sana. As soon as mwanaume akijua kimada anayetembea naye ameachwa, basi anaanza kumkwepa. Ukiona mke wako anakuletea ghafla jeuri mbaya, haambiliki basi ujue keshapata mtu. Watu wengi wanaona ni kama fahari kutembea na mke wa mtu plus gharama zinakuwa ndogo.
 
Pole sansma mr. mungu akupiganie maisha hayaishii hapo lipo kusudi juu ya maisha yako hakika kuna kitu nimejifunza
 
Naomba uendelee kutuhuza yatakayoendelea baada ya siku 45.

Huku mitaani kuna visa vingi vya wanaume kuondoka na nguo chache, kwenda kuanza maisha kwingine. Familia na ndoa ni msalaba nzito kwa mwanaume wa sasa
 
Daaah pole mno kaka πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”

Nimejisikiaaa vibaya mnooo
 
Ushauri mzuriii mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…