Hatimae hukumu imetoka tayari, siku ya kwanza tu ya kesi kusikilizwa

Haya mambo watu huwa wanaya underestimate kabla ya kuchukua hatua
 
Pole sana kaka. Maisha haya tu wapitaji. Weka kumbukumbu. Kuna siku atarudi na machozi akikulilia na kuomba msamaha kwa ujinga aliokufanyia.
 
Daaah pole mno kaka πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”

Nimejisikiaaa vibaya mnooo
Shukran kaka, ndio maisha. Unakubaliana na yote. Mengi ni unexpected ila yanapotokea unayavaa tu hakuna namna
 
Mmh hata kama yaan baada ya kuachan akidai talaka hakuna kurudi nyuma
 
Hawawezi washaonja mapenzi ya wazazi, mnaenda kuwafanya baadae wachukie mahusiano kwa hiki watakachokipitia..!!
Yah sure it pains. Mwanangu wa kwanza, 14yrs, wa kike, siku ya kikao cha familia, alisikia ule mzozo na mabishano, baadae nikiwa naondoka akaniwahi akaniuliza kwa upole hukuna machozi yanamtoka "baba, kwani wewe unataka kumuacha mama?"
Nikamshika bega nikamwambia "usilie, kuna haviko sawa ndio tunavifanyia kazi, kila kitu kitakua sawa, usijali ,sawa?".
Akasema sawa.
Nilipoingia ndani ya gari , i cried
 
Ulitakiwa umjibu " mama yako ndiye anataka kuniacha mimi" hiyo sentensi isingemtoka kichwani mwake na ingekusaidia siku za usoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…