Hatimae hukumu imetoka tayari, siku ya kwanza tu ya kesi kusikilizwa

Itakuwa kuna ukweli hapa maana nilikataaga offer ya 2m plus per session πŸ˜‚πŸ˜‚ ila ata sielewi nilikataaje inthe name of mke wa mtu πŸ™†πŸ½πŸ™†πŸ½
woii usi niambie you're hot as ....., sema uaminifu muhimu coz money comes and go.

Ila ngoja nishibe, ili uni tumie Picha nione ka sura kazuri😁😊
 
nini tena πŸ€”, mi si nime sifia kuwa pablo ali ona dhahabu mchangani😁
Ahaa wapi ananichukulia poa, basi last week nilibahatika kukaa chini masaa matatu na CEO mmoja ndani ya daslama tukiwa tumemaliza mazungumzo nakusanya mazaga yangu nisepe kuna neno alisema ikabidi nimuulize anamaanisha nini akasema kwa mtu mzoefu kama mchimbaji wa dhahabu kuna mchanga akiona tuu anakwambia hapa dhahabu ipo sasa nimeona dhahabu kwako na with the right people and connections utafika mbali ☺️
 
it takes time ku appreciate kitu au mtu, hasa mkiwa mna spend muda mwingi pamoja.
Lakini pia ukute ana appreciate ila he can't say it.

Huyo ceo usi kute ali angalia na reception pia πŸ˜‚πŸ¦…πŸ¦…
 
Hongera sana Kwa maamuzi mazuri na yakiume. Mshangao aliokuwa nao ni kwasababu alijua atakukomesha, alafu wewe ukaonyesha huna shida na Mali, na talaka imetoka chap. Kwa hiyo anajua jamaa kashaoa, hivyo kawivu kalikuwemo. MUNGU Akubariki na kukulinda na akufanikishe katika mapambano yako yazae mara mia zaidi ya ulivyokuwa mwanzo.
 
Amen chief..ahsante
 
Ye
Sikusoma Uzi wa kwanza ila niseme tu umekutana na vita!
Muktadha wa madaraka uliosema ni matokeo ya woman empowerment hata hivyo Hilo ni tone tu baada ya miaka 50 kutoka Sasa wanaume watakuwa kwenye ujenzi na kuchimba mitaro plus labda u driver
Yeah nkweli mkuu, majuz kuna mahali mama samia alisema taasis/ofisi zinazo ongozwa na wanawake znafanya vzuri kuliko zild zinazo ongozwa na wanaume.

Nkasema hapa kunakitu kinataftiwa sababu ya kupenyezwa.
 
Ni lazima atarudi kukuomba msamaha japo itakua too late kwa maamuzi uliyofikia.
Akirudi usimsamehe akute tayari upo kwenye mahusiano mengine ili ikawe funzo kwa wengine na familia yake.
Nakubaliana na wewe kuwa asimrudie huyo mwanamke, (anaweza kumsamehe bila kurudiana naye kamwe)

Lakini kumshauri kuingia kwenye mahusiano haraka haraka hivi unampoteza! (Japo kwa maturity aliyoionyesha kwenye jambo hili, kamwe HAWEZI KUFUATA HILI)
 
2.4 mbona ndogo kuna watu wana pesa za kuchezea wewe tena vijana sio wazee 🀣
Naelewa sana, paying that amount for sx isn't right na ni total craziness iki tokea nime fanya hivyo.

Nili wahi nunua kitu fulani kwa thamani isiyo yake, kwasababu ili kuwa na kumbukumbu zangu tu.
 
DNA hii ambayo ishakuwa manipulated na Serikali ili kupunguza watoto wa mtaani/chokoraa?
DNA haina uhusiano na watoto wa mitaani. Na hakuna hayo mambo kama unavyotaka watu waamini.

Paternity test ni muhimu kwenye hizi kesi za wanandoa kuachana, na nimuhimu hata kama hamjaachana.

Kulea mtu ambaye unawasiwasi siyo wako, ni bora kupima kuwa na uhakika.
 
Mkuu tusaidie ambao tulikuwa hatufahamu, huyu Shemeji yetu alikuwa kabia Gani?
 
Sikusoma Uzi wa kwanza ila niseme tu umekutana na vita!
Muktadha wa madaraka uliosema ni matokeo ya woman empowerment hata hivyo Hilo ni tone tu baada ya miaka 50 kutoka Sasa wanaume watakuwa kwenye ujenzi na kuchimba mitaro plus labda u driver
Na udureva kushavamiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…