Hatimae hukumu imetoka tayari, siku ya kwanza tu ya kesi kusikilizwa

Hatimae hukumu imetoka tayari, siku ya kwanza tu ya kesi kusikilizwa

Ni lazima atarudi kukuomba msamaha japo itakua too late kwa maamuzi uliyofikia.
Akirudi usimsamehe akute tayari upo kwenye mahusiano mengine ili ikawe funzo kwa wengine na familia yake.
uzuri maisha hayaja simama ila nilijipa likizo tu hivyo kurud au kutorud hizo sio shida zangu, kikubwa nimekuja tu ku realize kwamba i was dennying myself alot of expores and luxuries. I was so much crucifying mylife in the name of family. Now is different
 
Back
Top Bottom