Hatimae JUDGEMENT @ YNNAH now in full couple! (special c.c Baba v & Watu8)

Hatimae JUDGEMENT @ YNNAH now in full couple! (special c.c Baba v & Watu8)

Kila lenye kheri with your future wife
 
shem ulikuwa honeymoon ni kuhusu nitonye anataka niwe mwandani wake

Hapana Arabela! Ni hua sinayo hobby ya pekuapekua mambo ya wenyewe! Nachelea kuvekwa dera! (sijui mnaitaga dira? Whatever) in all means hua sijongelei lav affairs za wadau.
Nway "mwezi wa asali" ndo twaumanga rightnow.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom