Mkuu !
Naona umeniwish through brail ! Sina tatizo na nuktanundu! Nimekupata vema, kwa hiyo utatuma wiki hiihii au?
mh.....hongera bro i just wish the same thing happen to me....i wish...
Huu mkwara akiuona tu! Lazima atajipanga!
Ahsante, shaka ondoa atarudi tu.
Chondechonde!! Msiachane kwa ajili yetu kama alivyokwambia mume wangu kuwa amekwenda kwenye semina, we akija mpokee kwa mikono miwili.
Mh! hapo no comment kwa kweliroho yake ameigawa vipande vipande kila kipande kina mtu wake
na kwingine anataka kuongeza wengine tena
tatizo ni namna ya kubalance hivyo vipande vikae sawa
Hello mpendwa habari ya huko ulipo...mabinti ni wazima na wanasaka noti.
Kila jambo na wakati laazizi, tutawapata wengi tuAfu wife mwenzio nimejikuta naume kifinger!
Ofcoz utaniuliza kwanini, si eti?
Nimewaza as if we were in the couple several decades past , muda huu si tungekua tuna ka'kijana sawa tu na manoah?
Sijui tulidilei kiaje!
Amiina Mtoto halali na helaNawatakia maisha marefu
Mwambie nimemmiss sana na kwenye harusi sikumuona, kwema?Mzima wa afya tele
Teh teh teh....shemu wangu kazi anayo
labda aniletee
zawadi range rover sport
akija mwenyewe atanitambua alaaa!!