Hatimae Kelvin Twisa afunga ndoa

Hatimae Kelvin Twisa afunga ndoa

Hee kumbe mdingi mazeee[emoji849][emoji849][emoji848]
Screenshot_20201202-192034~2.jpg
 
Tela anapokea one na point shost, sio haba
Teller wa bank gani apokee mkwanja wa dizain hiyo?

Mateller njaa Kali tu ,sema wanajikutaga nan sijui wakivaa uniform za bank kumbe tunawajua nje ndan had salary wanazoramba .
 
Teller wa bank gani apokee mkwanja wa dizain hiyo?

Mateller njaa Kali tu ,sema wanajikutaga nan sijui wakivaa uniform za bank kumbe tunawajua nje ndan had salary wanazoramba .
MI nna shost yangu alianza na mshahara wa laki saba mwaka 2013,sahivi anapokea million na laki ngap sijui, aliniambia hivyo
Ina mana alinidanganya
 
Back
Top Bottom