Hatimae Kelvin Twisa afunga ndoa

Teller wa bank gani apokee mkwanja wa dizain hiyo?

Mateller njaa Kali tu ,sema wanajikutaga nan sijui wakivaa uniform za bank kumbe tunawajua nje ndan had salary wanazoramba .
Nimefanya field mabenki yote makubwa, hapo ndo nilijua kuwa teller teller kweli[emoji1787][emoji1787][emoji23]
 

Mada nyingine kiboko kumbe ni story ya 2013, hapo tu hajaoa, akaoa leo miaka 7 yupo hewani hingera zake na JF kwa kumbukumbu, (jamani ni story ya nyuma enzi hizo vijzna sie)
 
Mi nataka choka mbaya, tuanzie kulala kwenye mkeka[emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu basi mimi msela mhuni fulani wa kisasa choka mbaya mm hiyo figure tu avatar umenimaliza πŸ˜‚πŸ˜‚

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…