Hatimae Kelvin Twisa afunga ndoa

Hatimae Kelvin Twisa afunga ndoa

Teller wa bank gani apokee mkwanja wa dizain hiyo?

Mateller njaa Kali tu ,sema wanajikutaga nan sijui wakivaa uniform za bank kumbe tunawajua nje ndan had salary wanazoramba .
Nimefanya field mabenki yote makubwa, hapo ndo nilijua kuwa teller teller kweli[emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
1606939388156.png

Mada nyingine kiboko kumbe ni story ya 2013, hapo tu hajaoa, akaoa leo miaka 7 yupo hewani hingera zake na JF kwa kumbukumbu, (jamani ni story ya nyuma enzi hizo vijzna sie)
 
Back
Top Bottom