Hatimae Kelvin Twisa afunga ndoa

Daah yaani sisi wadogo zake ambao ni malofa kiuchumi TUMEOA kabla yake?!!!

Kweli kuna watu wana CALCULATION maisha haya....🀣🀣
 
Basi wote wana akili. Walikula ujana vizuri, wakati ulipofika wakatulia. Sio wengine wanakimbilia ndoa halafu wanaanza kupiga gemu za nje wakiwa ndani ya ndoa.
Una uhakika katulia ?.Kama haujui hamna watu wanaojua machimbo yalijificha na kutulia kama watu walioa ,ili asijulikane na mkewe akiwa na michepuko yake,anapiga matukio yake akirudi kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…