Hii ni ndoa ya kwanza ya kelvin .Hajawahi kuoa sasa nyinyi mnaopiga makelele kwani mliolewa nae .Dating process ndio ilivyo you choose the best .Nyie Wenyewe mmeona chaguo lake MWANAMKE mwenye elimu,katulia,anaheshima,sio mashauzi na majungu mavitenge mtaani ,good family ( morals values ) .Kelvin is from good family too hawezi toka na watu wa magomeni mapipa vingunguti huko msiojua hata ustaarabu ndio maana hajawaoa .Ndio mjue mwamaume mwenye pesa zake na Akili ( kelvin is very intelligent ) .Hawezi oa watoto wa kupenda midundiko,shanga na vi cream fake .Cheki Eleanor alivyo natural banaa ame focus ,yupo exposed angalau kelvin akimwambia tunawageni Leo anaweza entertain sio Nyie matusi na hata kuweka meza kwa mlo hamuwezi mnaleta bakuli la maji badala ya uma na kisu .MTULIE WANAUME WAKIOA WANATUMIA AKILI .We wish kelvin all the best .Akicheat sasa akiwa Kwenye ndoa that will be a problem .Wanaume hawaoi na hawapendi WANAWAKE wenye mashauzi na tamaa za ajabuajabu it's a big turn off .Leo unakutana na Kelvin anakutaka unaanza kutaka kuhudumiwa list ya vitu .Eleanor very independent woman hamwitaji kelvin kwa pesa mnalo Hilo