Hatimae Kelvin Twisa afunga ndoa

Hatimae Kelvin Twisa afunga ndoa

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
768
marketer nguli Kelvin Twisa weekend hii ameuaga rasmi ukapera na kufunga ndoa na bi Eleonor...

kelvin+twisa.png



 
hahahha kwa age aliyo nayo na status yake kuacha vilio ni jambo la kawaida;ila vilio vitaongezeka akiamua kutii kiapo kwa Elianor....

Si unaona mdau Hapo juu.mi nimekuta wadada wanataka kuandamana ikabidi watulizwe.mwee sijui hawajui alichokiunganisha mungu mwanadamu hawezi tena kutenganisha.majanga kweli kitaa
 
Back
Top Bottom