Hatimae kimbunga JOBO chaisha nguvu kabisa

Hatimae kimbunga JOBO chaisha nguvu kabisa

Ukitaka kuona Tanzania ilivyoshindikana na MUNGU anatulinda.
Angalia watu wanavyoishi na corona
 
The good news ni kwamba kimbunga JOBO kimeisha nguvu kabisa.Picha ya kwanza ni ya jana Ijumaa saa nne asubuhi kama unavyoona kwenye picha za satellite hapo kimbunga kilikuwa na nguvu sana na picha ya pili ni ya leo Jumamosi saa tisa ya usiku na kama unavyoona kimbunga kilipungua nguvu kidogo.

Picha ya tatu ni ya leo Jumamosi saa nne asubuhi ambapo kimbunga kilipungua nguvu sana.Picha ya nne ni ya leo Jumamosi saa kumi na moja jioni hii ambapo unaweza kuona kuwa kimbunga kimeisha nguvu kabisa.

Katika hizo picha unaweza kuona pia siku na muda.

1
View attachment 1762579
2
2752060_021042033234.jpg

3
View attachment 1762586
4
View attachment 1762591
Jobo kimekua ushuzi tupu
 
Back
Top Bottom