Vegan diet ni aina ya mlo usio na nyama,maziwa ama chochote kinachohusiana na wanyama.Kwahyo unakula mbogamboga,matunda na nafaka tu.
Mfano kuanzia Jumatatu mpaka ijumaa,inakuwa mwendo wa matunda na mbogamboga tu waweza ongezea na ndizi na viazi,kisha jumapili inakuwa cheat day unakula unachotaka.ukifanya hivyo wiki mbili tu unakata weight ya kutosha.Hizo siku sita ama tano hakikisha unakula hata milo minne kwa siku,usikae na njaa ila ule mbogamboga,na matunda,najitahidi usitumie mafuta mengi kwenye kupika ikiwezekana milo hyo iwe chukuchuku.na unywe maji mengi.
Kuna nyengine ya tende na maziwa.Mimi binafsi nilifanya hyo.asubuhi nkawa nakunywa glass moja ya maziwa na vipande sita vya tende,mchana hivyo hivyo ma jioni.nakula na matunda na maji mengi.nilifanya kwa siku kumi.nlikata kilo karibia nne.
Mimi nina kakitambi kana ni nyemelea yani kameniganda mazorzi napiga na kuacha. sasa fomula gani nitumie kukatoa bila kuathiri kilo nilizo nazo.
Kuna kipindi nilifanya extensive diet nikapungua tena ikawa shida.
Ifuatayo ni milo yangu kwa siku naomba ushauri wapi nipunguze:
Asubuhi
1 Viazi mviringo vya kucheemsha
2. mayai ya kukaanga 2 au matatu (spanich egg)
3. soseji 3 ( za kuku ama kitimoto)
4. Kahawa na maziwa vikombe kimoja na nusu
5. fresh juisi glasi moja (sometime inakuwa ya tikiti au nanasi au papai. siku nyngine inakuwa mix
6. vipande viliwi au kimoja cha omellette
7. matunda (ndizi moja, nanasi vipande 4, embe
8. cookie moja.
Mchana
1. Hapa mara nyingi nakula wali na nyama ya ngombe na kuku katika mapishi mabali mabli
2 matunda na juisi fresh.
Usiku
1. nakula wai ama mashed potatoes, nay red meat katika mapishi mablimbali
2. Bia 2 - 4
NB: mboga za majani napata kwa nadra sana maana hazipatikani kila siku.