Swala sio kulipia mbona kinacholipiwa ni kidogo sana .. swala hapo ni wazayuni ndo wanateseka irani kuwa na fedha za kutosha .. walitamani baada ya kuishambulia nchi hivyo waongeze na presure ya vikwazo nchi iwe dhaifu sana halafu siku wakija tena na porojo za nuclear wanaimalizia na israel awe kinara na kurule as supremacy state hapo ndo greater kingdom of israeli itatokea .. sasa wanaona wamecheza kamari hatari sana hiyo michangi sio kikwazo kiivoTrump kinachomuuma kipo hapa
Makampuni makubwa ya Marekani yamewekeza pakubwa eneo la Gulf States
kwamaana uwekezaji ule unategemea njia ya Hormuz kwa %95 kama sio 100 kabisa❗️
Marekani ikikubali iyo Sheria mpya ya kulipia pale Hormuz manake mwasirika wa kwanza ni Makampuni ya Marekani iyoiyo👈
Mfaidikaji mkuu ni Iranian 👈
Trump kuchagua Vita na Iranian kajikuta kwenye kona ngumu sana kisiasa uko Marekani mana je
1) JE INAENDELEA KUKUA
2) Au inayoyoma zaidi
Tatizo Makampuni yatalamika kabla ya Vita vyake
walikuwa wanapita ile njia free
Sasa leo wanatozwa pesa nyingi kupita tu👈
Kumbuka Uchaguzi wa Mabunge yao ni Mwez November
Hatari kwa Trump
ipo kubwa ikiwa wa Democrats watayadhibiti Mabunge yote mawili
Kuna uwezekano Trump akaondolewa kwenye
kiti cha Urais kupitia
Bunge lao 👈
kwasasa wa Democrats washajua Trump kanasa vibaya
kwenye hii Vita 👈
Trump kaingizwa chaka na Netanyahu🤠
Upeo mkubwa kiakili kwa Wairani unaonekana kwenye
mgogoro huu👈
namna wanamsindikiza talatibu Trump kwenye kona ya Uchaguzi wao wa November wanajua kitanzi chake kipo Nov✍️
Swala sio kulipia mbona kinacholipiwa ni kidogo sana .. swala hapo ni wazayuni ndo wanateseka irani kuwa na fedha za kutosha .. walitamani baada ya kuishambulia nchi hivyo waongeze na presure ya vikwazo nchi iwe dhaifu sana halafu siku wakija tena na porojo za nuclear wanaimalizia na israel awe kinara na kurule as supremacy state hapo ndo greater kingdom of israeli itatokea .. sasa wanaona wamecheza kamari hatari sana hiyo michangi sio kikwazo kiivo
Simulizi na sauti kutoka wapi⁹?Iran na Oman zinaripotiwa kukaribia kufikia makubaliano mapya ya kuruhusu usafiri wa meli kurejea katika Mlango-Bahari wa Hormuz, huku nchi hizo mbili zikitarajiwa kugawana udhibiti wa njia za kupita pamoja na mapato yatakayokusanywa kupitia kile kinachoelezwa kuwa “ada za huduma.”
Kwa mujibu wa maafisa wa Iran na Marekani walioelezwa kufahamu mazungumzo hayo, meli zinazoingia Ghuba ya Uajemi zitatumia njia iliyo karibu na pwani ya Iran na kusimamiwa na Tehran. Meli zinazoondoka Ghuba zitatumia njia ya upande wa Oman, karibu na pwani ya nchi hiyo.
Soma zaidi:Rais wa Marekani Donald Trump aagiza boat za Iran zilizoko mlango bahari wa Hormuz zizamishwe
Maafisa wawili wa Iran wamesema meli hazitatozwa ada kwa jina la “ushuru wa kupita,” bali zitalipa ada za huduma zinazohusishwa na ulinzi wa mazingira, usalama wa meli na mizigo, alama za kuongozea meli, wafanyakazi na shughuli nyingine za usimamizi wa baharini.
Mapato yatakayopatikana kupitia ada hizo yanatarajiwa kugawanywa sawa kati ya Iran na Oman. Mfumo huo unalenga kuipa ada hiyo sura ya malipo ya huduma badala ya ushuru wa lazima wa kutumia njia ya kimataifa
View attachment 3643080
Source:Simulizi na sauti
Una uhakika Democratic Party wana uwezo wa upata zaidi ya theluthi mbili za wabunge ili kuweza kumuondoa rais madarakani kwa kumpigia kura ya kutokuwa na imani naye au wewe unajisemea tu humu.Trump kinachomuuma kipo hapa
Makampuni makubwa ya Marekani yamewekeza pakubwa eneo la Gulf States
kwamaana uwekezaji ule unategemea njia ya Hormuz kwa %95 kama sio 100 kabisa❗️
Marekani ikikubali iyo Sheria mpya ya kulipia pale Hormuz manake mwasirika wa kwanza ni Makampuni ya Marekani iyoiyo👈
Mfaidikaji mkuu ni Iranian 👈
Trump kuchagua Vita na Iranian kajikuta kwenye kona ngumu sana kisiasa uko Marekani mana je
1) JE INAENDELEA KUKUA
2) Au inayoyoma zaidi
Tatizo Makampuni yatalamika kabla ya Vita vyake
walikuwa wanapita ile njia free
Sasa leo wanatozwa pesa nyingi kupita tu👈
Kumbuka Uchaguzi wa Mabunge yao ni Mwez November
Hatari kwa Trump
ipo kubwa ikiwa wa Democrats watayadhibiti Mabunge yote mawili
Kuna uwezekano Trump akaondolewa kwenye
kiti cha Urais kupitia
Bunge lao 👈
kwasasa wa Democrats washajua Trump kanasa vibaya
kwenye hii Vita 👈
Trump kaingizwa chaka na Netanyahu🤠
Upeo mkubwa kiakili kwa Wairani unaonekana kwenye
mgogoro huu👈
namna wanamsindikiza talatibu Trump kwenye kona ya Uchaguzi wao wa November wanajua kitanzi chake kipo Nov✍️
Hamna wewe ndio una uhakikaUna uhakika Democratic Party wana uwezo wa upata zaidi ya theluthi mbili za wabunge ili kuweza kumuondoa rais madarakani kwa kumpigia kura ya kutokuwa na imani naye au wewe unajisemea tu humu.
Umeanza lini kupenda vita weye????