Hatimae mh. Jenista Mhagama anena kuhusu ajira za walimu wapya

hii ndo tz yetu ukickia viongoz mizigo ni hapa tu kwingne wanaiga!.Jaman hata huyu mama tayar kashaanza kupoteza dira?angeulizwa kirefu cha BRN angechemka.Majembe mcfe moyo kaz ni nying za kufanya mctegemee ajira!
 
Afu kawaahidi kuwa zitatoka April mosi ambayo ni siku ya wajinga duniani. Kwa hiyo msishangae akija kusema hii ni siku ya wajinga duniani.
 
Kujiajiri ndo mpango mzima,,alafu nimesikia et,,,,waalimu wa H KU NN,,wametosha,,kazi kwenu mliozoea kubumka,,
 
duuu''hasira''ajra mpaka april mos huk ktaaa dharau kinoma
 
Waalimu hawajielewi. Kwani ni nani anasimamia chaguzi kuu na ndogo nikimaanisha wakala wa Ccm? S ni mwalimu? Cheap laboures. Hata wakidhulumiwa hawaoni. Hapa kelele mnapiga lakini mkisha ajiriwa kimyaaaaaa. Shame on you teachers.
 
Mbona hata wanaojiita vyama vya upinzani kwa posho za bunge la katiba wako kimya?. Ni desturi ya mtu mweusi akiwa anakula huwa hasemi hadi ashibe, pia ukiona ameongea wakati yuko mesini jua amedhulumiwa mboga au ugali amepewa kidogo. Walimu wakiajiriwa watakaa kimya maana maslahi yao yatakuwa yametimizwa kwa wakati huo. Kasome Theory ya Charles Darwin ya "Fight for the Fittest and Struggle for existence".
 
Kama kuajiriwa ndo mnalazimisha na kujidhalilisha hivi ndio maana hamuwezi kudai haki zenu hata kwa migomo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!hopelesss:evil:
 
walimu tutaishi kwa matumaini mpaka lini serikali wazi na sikivu mpaka uilazimishe kutekeleza majukumu yake niko dissappointed sana na viongoz wachumia matumbo

bunge la katiba kila mmoja atalipwa sh 700,000/= ma idadi ya wajumbe wote na wabunge!? Hii ndio serikali ya jk chini ya ccm ,hadi huwa nawashangaa wanao iunga mkono ccm huwa nawaona kama mataahira hivi,
 
Mh.Katibu mkuu TAMISEMI,tunaomba utuambie kinagaubaga kuhusu ajira za walimu maana hali si nzuri mtaani,tunakutegemeasana mh.

ajira zitatangazwa tarehe 1 mwezi wa nne kuripoti term ya pili tarehe 7-25 jully, hii ni taarifa ya uhakika kutoka chanzo cha uhakika 100% kutoka wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi, idadi ya walimu itakuwa 28,000 ambapo walimu elfu 13 primary na elfu 13 secondary na wakufunzi 2000 wa vyuo vya ualimu diploma na certicate.
 
pole sana, uwe makini 2015. au km una uwezo wamebaki tembo wachache ukawinde
 
Waalimu hawajielewi. Kwani ni nani anasimamia chaguzi kuu na ndogo nikimaanisha wakala wa Ccm? S ni mwalimu? Cheap laboures. Hata wakidhulumiwa hawaoni. Hapa kelele mnapiga lakini mkisha ajiriwa kimyaaaaaa. Shame on you teachers.

upo sahihi kiongozi!walimu wamejiweka wenyewe kuwa tabaka la chini kabisa.
 
Sasa kma mtu anapewa posho ya laki 7 kwa siku jmn cc waalim tutapata fungu kweli?hii serikali ishashindwa kujiendesha pesa nyingi sana zko mikononi mwao hao...watoe hata post bc mtu ajue kenda wapi,il ajipange....
 
Kama kuajiriwa ndo mnalazimisha na kujidhalilisha hivi ndio maana hamuwezi kudai haki zenu hata kwa migomo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!hopelesss:evil:

kwa hoja yako hiyo hakika wewe ni tutusa,kama serikali isinge jinadi kuwa inatoa ajira kwa walimu nadhani watu ambao wangeenda kusoma ualimu wangekuwa wachache sana kuliko unavo dhani sababu tatizo ni ajira na sio ualimu ,tafakari chukua hatua
 
habari ndo hyo taarifa kuwa ajira mpaka mwez wa nne niza uhakika na mshikaji wangu yupo field hapa halmashauri iringa ali hudhuria hicho kikao pale kati lugalo sec tuwe wavumilivu bado wik 6 tu
 
Acha njaa mtoto eti uandamane ! We si mjanja tafuta kazi ya kujiajiri... Kwanza mkipewa ajira mnaanza kuitukana serekali.. Ndo mana kazi za ualimu ni kwa wale waliofeli... So unalilia ajira za waliofeli ndo mana serekali haina haraka na nyie , mbona hatusikii ma doctor wakilia lia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…