stellah kessy
Member
- Jan 5, 2014
- 29
- 4
Ajira za walim zmekua kama wimbo wa taifa jaman?????????ni haki jaman?????????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna cha BRN wala nini hapa! Walimu walishagoma toka enzi za nyerere!! Watatwanga maji kwenye kinu na li BRN lao!! Na ole wao wanipange sitimbi !!!
Hakuna cha BRN wala nini hapa! Walimu walishagoma toka enzi za nyerere!! Watatwanga maji kwenye kinu na li BRN lao!! Na ole wao wanipange sitimbi !!!
Yaonyesha una munkari haswa!!!
Kama haujafanya namna tegemea tu huko sitimbi aseeee
loh nilifanya manuva wacha tuone itakuwaje !!
imeshakua issue hata hyo tarehe 20 cdhan jaman
Ajira za walim zmekua kama wimbo wa taifa jaman?????????ni haki jaman?????????
Are you a real man?Pokea like kwa sahihi hii It takes a real man to make a woman satisfied......kwa kiswahili ni ?
Kama hivo pouwa, nilitupwa vichakani mie sitapasahau
nimkunywa maji ya kisima nikapauka jamani mweh
duh hapo pa kupauka pamenifanya nicheke sana, lakini poleni sana walimu na hii kiu ya kapata ajira, kwakweli bila uwepo wenu ni muhimu sana hasa wakati huu maana taifa hili linaelekea kubaya, nawatambueni kama NGUZO muhimu sana kwa maendeleo ya wengi. Lakini kwa baadhi ya comments ambazo zimepita juu zaonesha kuna baadhi yenu mnachangaya taaluma yenu na siasa, jamani miaka mitatu mliyosoma ni mingi sana na BAED(biology, kiswahili, history na nyinginezo) sio kozi ya kitoto najua ninyi ndo huwa mwasoma mambo mengi sana, lakini hivi hakuna vyama/taasisi ambazo ziliundwa kwa ajiri ya kutazama mwenendo mzima wa taaluma hii ya ualimu?, na kama zipo je hao viongozi wamesema nini?..naamini ipo sehemu ya kuanzia na sio kuwaruhusu hawa CCM, CHADEMA, CUF, TLP n.k kumbuka "NO ONE ELSE CAN DETERMINE YOUR FUTURE BUT YOU"-Bill winston