Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu walimu watarajiwa wenzangu pamoja na hamu kubwa ya kusubiria ajira hatuna budi kuwa wapole kwan serikali yetu haina uchungu na wanainchi wake ndio maana kila mtu aliyoko wizaran anatamka anavyotaka kuwa ongopea watu wake kwa kuwa aliyeshiba hamjui mwenye njaaa .
Na tatizo kubwa ni kutenga bajeti hewa kwa wizara zake. pia kutokana na kukabiliwa na majukumu ambayo hayakuwepo kwenye mipango ndio maana wanashindwa kutimiza lengo lillilopo na kuangalia lile la haraka kwa muda huo na letu kuliweka kipolo kwakuwa hakuna athari yoyote kwa serikali
kwa sasa kutucheleweshea ajira zetu. Na ili tatizo hili litoweke kunatakiwa kuwe na kiongozi shupavu atakaye safisha uongozi kuanzia chin had juu bila woga wala huruma kwa kuhakikisha ukusanyaji wa mapato na utumiaji wa mapato unaenda kama unavyostahili. pia mfumo wa serikali ni mbovu ila km rasimu hii ikipita na tukampata kiongozi shupavu had ifikapo 2016 mambo yatakaa sawa tu.
Hayo Maswala Ya Rasim Ya Katiba Cjui, Hatutaki Kuyackia Shv! Kinachomata Ajira Kwanza Mengine Yatafuata
Acha njaa mtoto eti uandamane ! We si mjanja tafuta kazi ya kujiajiri... Kwanza mkipewa ajira mnaanza kuitukana serekali.. Ndo mana kazi za ualimu ni kwa wale waliofeli... So unalilia ajira za waliofeli ndo mana serekali haina haraka na nyie , mbona hatusikii ma doctor wakilia lia...
Sasa kma mtu anapewa posho ya laki 7 kwa siku jmn cc waalim tutapata fungu kweli?hii serikali ishashindwa kujiendesha pesa nyingi sana zko mikononi mwao hao...watoe hata post bc mtu ajue kenda wapi,il ajipange....
kwa hoja yako hiyo hakika wewe ni tutusa,kama serikali isinge jinadi kuwa inatoa ajira kwa walimu nadhani watu ambao wangeenda kusoma ualimu wangekuwa wachache sana kuliko unavo dhani sababu tatizo ni ajira na sio ualimu ,tafakari chukua hatua