Hatimae mh. Jenista Mhagama anena kuhusu ajira za walimu wapya

Hatimae mh. Jenista Mhagama anena kuhusu ajira za walimu wapya

Ndugu walimu watarajiwa wenzangu pamoja na hamu kubwa ya kusubiria ajira hatuna budi kuwa wapole kwan serikali yetu haina uchungu na wanainchi wake ndio maana kila mtu aliyoko wizaran anatamka anavyotaka kuwa ongopea watu wake kwa kuwa aliyeshiba hamjui mwenye njaaa .
Na tatizo kubwa ni kutenga bajeti hewa kwa wizara zake. pia kutokana na kukabiliwa na majukumu ambayo hayakuwepo kwenye mipango ndio maana wanashindwa kutimiza lengo lillilopo na kuangalia lile la haraka kwa muda huo na letu kuliweka kipolo kwakuwa hakuna athari yoyote kwa serikali
kwa sasa kutucheleweshea ajira zetu. Na ili tatizo hili litoweke kunatakiwa kuwe na kiongozi shupavu atakaye safisha uongozi kuanzia chin had juu bila woga wala huruma kwa kuhakikisha ukusanyaji wa mapato na utumiaji wa mapato unaenda kama unavyostahili. pia mfumo wa serikali ni mbovu ila km rasimu hii ikipita na tukampata kiongozi shupavu had ifikapo 2016 mambo yatakaa sawa tu.

Mkuu povuu lote hilo mdomni kisa tunachelewshewa ajira be patient pungza hasira baba.serekal imekuambia no money au wazitoe ajira zenyew alaf wasikulpe mshahara
 
Walimu acheni kutupigia kelele,
Mbona mm nina bachelor of sociology tangu mwaka juzi alafu bado nina apply sikati tamaa?
 
Mkichoka na maneno ndo ntamwambia anko angu awatangazie rasmi. Ila kama ndo mnalumbana wenyewe kwa wenyewe sijui mimi. Ankoo aliniambia hapendezwi na kelele. Kwa hiyo anaomba utulivu ili aweze kuwatangazia. Pia alisema sii kwamba atawaambia kuwa ni tayari la hasha! Bali ni nini kimewafanya wakatangaze mwezi wa 4 na ni kwanini watu waripoti mwezi 7. Kuna sababu kibao alinidokeza.
 
serikali imekuwa na longolongo nyingi sana.Nanyinyi mnaotafuta ajira msidai kwa nguvu hivyo ndio maana mnakosa nguvu ya kudai haki zenu hata kwa mgomochakufanya ni nini sasa yafaatuwe wavumilivu mpaka ajira mpya zitakapo tangazwa1/04/2014.
 
Acha njaa mtoto eti uandamane ! We si mjanja tafuta kazi ya kujiajiri... Kwanza mkipewa ajira mnaanza kuitukana serekali.. Ndo mana kazi za ualimu ni kwa wale waliofeli... So unalilia ajira za waliofeli ndo mana serekali haina haraka na nyie , mbona hatusikii ma doctor wakilia lia...

wewe mpuuzi kweli. Waalimu ni watu waliofeli? Halafu ikawaje wakakufundisha hata ukajua jinsi ya kuchamba. Watu wanamaliza wanafaulu wanasomea ualimu wanafulu tena wanakuja kuwatoa ujinga. Ila wewe naona ujinga wako ni wa kiasili. Kwa hiyo waalimu wako walikuwa wajinga? Nina wasiwasi kama wewe sio basha. Malezi yangu niliyopewa na malecture wangu hayaniruhusu kukutukana zaidi ya hapo.
 
sasa mbona mwaka jana waliahidi nusu ya walimu. na mwaka huu je wanaajiri tena idadi ndogo hivyo, hao wengine waelekee wapi?
 
Sasa kma mtu anapewa posho ya laki 7 kwa siku jmn cc waalim tutapata fungu kweli?hii serikali ishashindwa kujiendesha pesa nyingi sana zko mikononi mwao hao...watoe hata post bc mtu ajue kenda wapi,il ajipange....

Hata mimi niliwahi kushauri watoe post hata kama kuripoti mwezi wa sita ili wajipange. Kutotoa post inawafanya walimu watarajiwa kuwa na kihoro.
 
kwa hoja yako hiyo hakika wewe ni tutusa,kama serikali isinge jinadi kuwa inatoa ajira kwa walimu nadhani watu ambao wangeenda kusoma ualimu wangekuwa wachache sana kuliko unavo dhani sababu tatizo ni ajira na sio ualimu ,tafakari chukua hatua

Kauk, wewe uliejiajiri umeleta mabadiliko gani kwenye nchi hii? Unajua deni la taifa ni bei gani? Unajua EFDs mradi wa nani au unaropoka tu. Ya walimu haya kuhusu wewe kama umesoma sociology tafuta ajira za sociology au ukae kimya.
 
Sijajua kama mnafaham tatizo la ajira la walimu linamgusa kila mtu au ni upeo mdogo wa mawazo ndio unapelekea kuzarau hili? Nani anaweza sema kuna shule gani hapa tz yenye walimu wa kutosha? Huyo mtoto anaesoma si mtz? Kama si mwanao basi atakuwa ndugu yako je yeye hapaswi kupata elimu iliyo bora? Hata kama ajira itatoka mwakan nani atakaye asirika? mwanafunzi au huyo mwalimu? Watz tuondokane na mawazo mgando
 
Inaonekana serekali imesahau kuwa kuna uhaba wa walimu ndio maana hataki kutoa hizo ajira! BRN itafanikiwa kweli?
 
Hakuna cha BRN wala nini hapa! Walimu walishagoma toka enzi za nyerere!! Watatwanga maji kwenye kinu na li BRN lao!! Na ole wao wanipange sitimbi !!!
 
:baby:😛hoto:hata pesidaa alinena ajira mwezi wa kwanza lakini patupu siwezi kumshangaa uyo mwagamaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
saivi ni ful kujichanganya kila kona kusaka mkwanja.coz huu ni u....ge.zikitoka mnishtue sifuatilii tena!! nmesema tenaa!!!
 
Back
Top Bottom