MWATANI
Member
- Feb 14, 2014
- 45
- 44
Habari za uhakika na kuaminika kutoka wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi, ni kuwa ajira za walimu zitakuwa hewani ndani ya wiki moja ijayo, ikiwa na maana kuwa tarehe 24/02/2014, kila kitu kitakuwa hewani, na itawapasa na kuwalazimu walimu wapya kuripoti katika vituo vyao vya kazi ndani ya wiki moja, 1/03/2014.