Hatimae Misri imetajwa rasmi kama mshirika anayepigana upande wa Israel dhidi ya Gaza

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Mchambuzi mashuhuri wa masuala ya mashariki ya kati,Mohammed Al masry ameseweka wazi kuwa Misri ndiye mshirika mkubwa wa Israel na Marekani kufanikisha maumivu wanayoyapata wananchi wa Palestina eneo la Gaza.

AlMasry katika mahojiano yake na aljazeera ,amesema ukweli huo ni jambo ambalo kwa muda mrefu watu wamekuwa wakisita kulitaja ilhali Misri imekuwa ikifanya hivyo sio miaka hii miwili tu bali kwa kipindi cha miongo miwili mizima iliyopita.

Katika ufanunuzi wake Almasry ameweka wazi kuwa Misri imekuwa ikifanikisha malengo ya mataifa hayo kwa kuutumia ukaribu wake na watu wa Gaza na kwa kutumia mpaka wa Rafah unaounganisha Misri na eneo hilo la wapalestina.
 
Mchambuzi Mnafiki katika ubora wake. Misri kashashahuri aungi mkono vita na Israel. Kesho atasema saudia naye anapigana vita dhidi ya gaza.
 
Misri anajua akikaa karibu na magaidi hatakuwa salama. Anajifunza kwa Yemen na Lebanon.
 
Mchambuzi mashuhuri wa masuala ya mashariki ya kati,Mohammed Al masry ameseweka wazi kuwa Misri ndiye mshirika mkubwa wa Israel na Marekani kufanikisha maumivu wanayoyapata wananchi wa Palestina eneo la Gaza.

AlMasry katika mahojiano yake na aljazeera ,amesema ukweli huo ni jambo ambalo kwa muda mrefu watu wamekuwa wakisita kulitaja ilhali Misri imekuwa ikifanya hivyo sio miaka hii miwili tu bali kwa kipindi cha miongo miwili mizima iliyopita.

Katika ufanunuzi wake Almasry ameweka wazi kuwa Misri imekuwa ikifanikisha malengo ya mataifa hayo kwa kuutumia ukaribu wake na watu wa Gaza na kwa kutumia mpaka wa Rafah unaounganisha Misri na eneo hilo la wapalestina.
Kwa Misri sio jambo la kushangaza

Japo chanzo Cha taarifa pia sio Cha kukiamini
 
Al Sisi anajitambua hawezi kamwe kuwa upande wa magaidi wa Hamas na washirika wao wa Iran
Lakini soon Israel anaenda kukata kichwa cha nyoka (Iran) ili kuleta amani ya kudumu hapo Mashariki ya KATI
 
Almasry ni mwarabu mwenye asili ya Misri na mchambuzi maarufu kwenye chaneli ya kiarabu ya aljazeera.Ukiuliza sasa hivi utamuona anazungumza hiyo mada,
 
Misri sio mjinga kama wewe Mmatumbi au unataka Cairo ijeuzwe kifusi kama Gaza...Misri anajipenda anajua moto aliopigwa na Israel katika SIX DAYS WAR..
 
Al Sisi anajitambua hawezi kamwe kuwa upande wa magaidi wa Hamas na washirika wao wa Iran
Lakini soon Israel anaenda kukata kichwa cha nyoka (Iran) ili kuleta amani ya kudumu hapo Mashariki ya KATI
AyatoLlaah ndio mpole wao katika uongozi wa juu wa Iran.Kuna wenye msimamo sawa na Ben Gver na Simotrich
 
Misri sio mjinga kama wewe Mmatumbi au unataka Cairo ijeuzwe kifusi kama Gaza...Misri anajipenda anajua moto aliopigwa na Israel katika SIX DAYS WAR..
Yale yamepitwa na wakati sana.Hakuna tena vita vya aina ile. Ikiwa Houth wanauweza wa kufika TelAviv na hawna kambi ya jeshi wala silaha kama za Misri.
 
Mchambuzi Mnafiki katika ubora wake. Misri kashashahuri aungi mkono vita na Israel. Kesho atasema saudia naye anapigana vita dhidi ya gaza.
ameongea hoja yenye mantiki sana, Misri kama nchi uongozi uliopo una support ya Marekani ingawa wananchi wako kinyume sasa haya si ya kushangaza, naamini wananchi wa Misri wanailaani Israel
 
Misri inakataa kuwanzishwa kundi la kupigana na Israel katika ardhi yake na Iran Kama ilivyofanya lebanoni. Plani ya Iran ni kuanzisha makundi kwa kila taifa lililo karibu na Israel. Misri ataki huo Upumbavu lazima aonekane ni adui. Sasa hapo anapiganaje na gaza?. Mchambuzi ni mpumbavu tu
 
Mchambuzi mashuhuri wa masuala ya mashariki ya kati,Mohammed Al masry ameseweka wazi kuwa Misri ndiye mshirika mkubwa wa Israel na Marekani kufanikisha maumivu wanayoyapata wananchi wa Palestina eneo la Gaza.

AlMasry katika mahojiano yake na aljazeera ,amesema ukweli huo ni jambo ambalo kwa muda mrefu watu wamekuwa wakisita kulitaja ilhali Misri imekuwa ikifanya hivyo sio miaka hii miwili tu bali kwa kipindi cha miongo miwili mizima iliyopita.

Katika ufanunuzi wake Almasry ameweka wazi kuwa Misri imekuwa ikifanikisha malengo ya mataifa hayo kwa kuutumia ukaribu wake na watu wa Gaza na kwa kutumia mpaka wa Rafah unaounganisha Misri na eneo hilo la wapalestina.
Washaur hamas wawaachilie mateka kuokoa uzao chief. Hiz porojo hazitawasaidiq
 
Hii kuvizia ya houth unawaona kweli wanaweza vita kamili jaribu kuwa serious kidogo
Vita kamili ni vipi hapo.
Watu wanatumia meli za Kivita na ndege za kivita za 5g na wewe unaona bado sio vita kamili
 
Ukiona pale Cairo palivyotulia huridhiki kabisa? Shida nini mkuu?
Pametuli ila watu wamebubujikww na damu vifuan usichukulie poa kuna siku kitanuka tu ndo maana isis hatak hataki mkusanyiko hata wa watu 3 kunywa kawahau
 
Back
Top Bottom