Mchambuzi Mnafiki katika ubora wake. Misri kashashahuri aungi mkono vita na Israel. Kesho atasema saudia naye anapigana vita dhidi ya gaza.Mchambuzi mashuhuri wa masuala ya mashariki ya kati,Mohammed Al masry ameseweka wazi kuwa Misri ndiye mshirika mkubwa wa Israel na Marekani kufanikisha maumivu wanayoyapata wananchi wa Palestina eneo la Gaza.
AlMasry katika mahojiano yake na aljazeera ,amesema ukweli huo ni jambo ambalo kwa muda mrefu watu wamekuwa wakisita kulitaja ilhali Misri imekuwa ikifanya hivyo sio miaka hii miwili tu bali kwa kipindi cha miongo miwili mizima iliyopita.
Katika ufanunuzi wake Almasry ameweka wazi kuwa Misri imekuwa ikifanikisha malengo ya mataifa hayo kwa kuutumia ukaribu wake na watu wa Gaza na kwa kutumia mpaka wa Rafah unaounganisha Misri na eneo hilo la wapalestina.
Misri anajua akikaa karibu na magaidi hatakuwa salama. Anajifunza kwa Yemen na Lebanon.Mchambuzi mashuhuri wa masuala ya mashariki ya kati,Mohammed Al masry ameseweka wazi kuwa Misri ndiye mshirika mkubwa wa Israel na Marekani kufanikisha maumivu wanayoyapata wananchi wa Palestina eneo la Gaza.
AlMasry katika mahojiano yake na aljazeera ,amesema ukweli huo ni jambo ambalo kwa muda mrefu watu wamekuwa wakisita kulitaja ilhali Misri imekuwa ikifanya hivyo sio miaka hii miwili tu bali kwa kipindi cha miongo miwili mizima iliyopita.
Katika ufanunuzi wake Almasry ameweka wazi kuwa Misri imekuwa ikifanikisha malengo ya mataifa hayo kwa kuutumia ukaribu wake na watu wa Gaza na kwa kutumia mpaka wa Rafah unaounganisha Misri na eneo hilo la wapalestina.
Kwa Misri sio jambo la kushangazaMchambuzi mashuhuri wa masuala ya mashariki ya kati,Mohammed Al masry ameseweka wazi kuwa Misri ndiye mshirika mkubwa wa Israel na Marekani kufanikisha maumivu wanayoyapata wananchi wa Palestina eneo la Gaza.
AlMasry katika mahojiano yake na aljazeera ,amesema ukweli huo ni jambo ambalo kwa muda mrefu watu wamekuwa wakisita kulitaja ilhali Misri imekuwa ikifanya hivyo sio miaka hii miwili tu bali kwa kipindi cha miongo miwili mizima iliyopita.
Katika ufanunuzi wake Almasry ameweka wazi kuwa Misri imekuwa ikifanikisha malengo ya mataifa hayo kwa kuutumia ukaribu wake na watu wa Gaza na kwa kutumia mpaka wa Rafah unaounganisha Misri na eneo hilo la wapalestina.
Al Sisi anajitambua hawezi kamwe kuwa upande wa magaidi wa Hamas na washirika wao wa IranMchambuzi mashuhuri wa masuala ya mashariki ya kati,Mohammed Al masry ameseweka wazi kuwa Misri ndiye mshirika mkubwa wa Israel na Marekani kufanikisha maumivu wanayoyapata wananchi wa Palestina eneo la Gaza.
AlMasry katika mahojiano yake na aljazeera ,amesema ukweli huo ni jambo ambalo kwa muda mrefu watu wamekuwa wakisita kulitaja ilhali Misri imekuwa ikifanya hivyo sio miaka hii miwili tu bali kwa kipindi cha miongo miwili mizima iliyopita.
Katika ufanunuzi wake Almasry ameweka wazi kuwa Misri imekuwa ikifanikisha malengo ya mataifa hayo kwa kuutumia ukaribu wake na watu wa Gaza na kwa kutumia mpaka wa Rafah unaounganisha Misri na eneo hilo la wapalestina.
Almasry ni mwarabu mwenye asili ya Misri na mchambuzi maarufu kwenye chaneli ya kiarabu ya aljazeera.Ukiuliza sasa hivi utamuona anazungumza hiyo mada,Kwa Misri sio jambo la kushangaza
Japo chanzo Cha taarifa pia sio Cha kukiamini
AyatoLlaah ndio mpole wao katika uongozi wa juu wa Iran.Kuna wenye msimamo sawa na Ben Gver na SimotrichAl Sisi anajitambua hawezi kamwe kuwa upande wa magaidi wa Hamas na washirika wao wa Iran
Lakini soon Israel anaenda kukata kichwa cha nyoka (Iran) ili kuleta amani ya kudumu hapo Mashariki ya KATI
Yale yamepitwa na wakati sana.Hakuna tena vita vya aina ile. Ikiwa Houth wanauweza wa kufika TelAviv na hawna kambi ya jeshi wala silaha kama za Misri.Misri sio mjinga kama wewe Mmatumbi au unataka Cairo ijeuzwe kifusi kama Gaza...Misri anajipenda anajua moto aliopigwa na Israel katika SIX DAYS WAR..
ameongea hoja yenye mantiki sana, Misri kama nchi uongozi uliopo una support ya Marekani ingawa wananchi wako kinyume sasa haya si ya kushangaza, naamini wananchi wa Misri wanailaani IsraelMchambuzi Mnafiki katika ubora wake. Misri kashashahuri aungi mkono vita na Israel. Kesho atasema saudia naye anapigana vita dhidi ya gaza.
Hii kuvizia ya houth unawaona kweli wanaweza vita kamili jaribu kuwa serious kidogoYale yamepitwa na wakati sana.Hakuna tena vita vya aina ile. Ikiwa Houth wanauweza wa kufika TelAviv na hawna kambi ya jeshi wala silaha kama za Misri.
Misri inakataa kuwanzishwa kundi la kupigana na Israel katika ardhi yake na Iran Kama ilivyofanya lebanoni. Plani ya Iran ni kuanzisha makundi kwa kila taifa lililo karibu na Israel. Misri ataki huo Upumbavu lazima aonekane ni adui. Sasa hapo anapiganaje na gaza?. Mchambuzi ni mpumbavu tuameongea hoja yenye mantiki sana, Misri kama nchi uongozi uliopo una support ya Marekani ingawa wananchi wako kinyume sasa haya si ya kushangaza, naamini wananchi wa Misri wanailaani Israel
Washaur hamas wawaachilie mateka kuokoa uzao chief. Hiz porojo hazitawasaidiqMchambuzi mashuhuri wa masuala ya mashariki ya kati,Mohammed Al masry ameseweka wazi kuwa Misri ndiye mshirika mkubwa wa Israel na Marekani kufanikisha maumivu wanayoyapata wananchi wa Palestina eneo la Gaza.
AlMasry katika mahojiano yake na aljazeera ,amesema ukweli huo ni jambo ambalo kwa muda mrefu watu wamekuwa wakisita kulitaja ilhali Misri imekuwa ikifanya hivyo sio miaka hii miwili tu bali kwa kipindi cha miongo miwili mizima iliyopita.
Katika ufanunuzi wake Almasry ameweka wazi kuwa Misri imekuwa ikifanikisha malengo ya mataifa hayo kwa kuutumia ukaribu wake na watu wa Gaza na kwa kutumia mpaka wa Rafah unaounganisha Misri na eneo hilo la wapalestina.
Unajiona ndani ni wewe tuHii inadhihirisha mtu mweusi ni nyani kushadadia yasiyomuhusu
Pametuli ila watu wamebubujikww na damu vifuan usichukulie poa kuna siku kitanuka tu ndo maana isis hatak hataki mkusanyiko hata wa watu 3 kunywa kawahauUkiona pale Cairo palivyotulia huridhiki kabisa? Shida nini mkuu?