Hatimae mshindi wa BIKO azimia kwa mshtuko

Hatimae mshindi wa BIKO azimia kwa mshtuko

kalagabaho

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
5,457
Reaction score
5,893
Mengi yamesemwa eti ooh mbona washindi wa BIKO hawaonyeshi mshtuko wanapoambiwa wameshinda mamilioni!!..

Sasa leo ngoma imepata mchezaji baada ya mkazi wa mbagala "kuamua" kuzimia alipoambiwa na kajala pale ITV kuwa ameshinda mil 20!

Mkazi huyo alipoulizwa na kajala eti umezimia? Akajibu ndio!! Alipoulizwa tena unajisikiaje kupata taarifa hii akajibu najisikia vizuri ..
 
Back
Top Bottom