ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Sasa hivi Tatu Mzuka na Biko watu wanashinda sana, bado sijawasikia Takukuru, bodi ya michezo ya kubahatisha na Tcra kutoa baraka zao
Sasa ngoja siku ya speech kwenye mic muheshimiwa mkubwa ahoji kuhusu hili watu watajambiana sana!
Sasa ngoja siku ya speech kwenye mic muheshimiwa mkubwa ahoji kuhusu hili watu watajambiana sana!