Hatimae mshindi wa BIKO azimia kwa mshtuko

Hatimae mshindi wa BIKO azimia kwa mshtuko

Mnashangaa nini sasa? bongo mtu anabakwa na yeye yeye ndo wa kwanza kukata mauno na wa kwanza kumwaga mpk mbakaji anabaki kaduwaa.
 
Hahahahahaha toka lini mtu aliyezimia akaongea [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii story inanikumbusha rafiki yangu alikuwa kanywa pombe sasa mwenziye mlevi akaomba lift kwenye pkpk yake anaporudi.
Njiani wakati wanarudi jamaa akajisahau kukata kona akaunga mbele pkpk ikavuka mtaro then ikavutuka tena kurudi nyumba yule abiria akaanguka ndani ya mtaro na kuumia.
Sasa jamaa yangu kamuuliza vipi umepona?. jamaa kamjibu nimezimia mimi, huku jamaa akichunguza pkpk yake naye akamjibu acha ungese wewe waliozimia wanaongea. Pombe noma.
Usiombee upate taarifa ya msiba umelewa utalia au kutoa vituko balaa.
 
Ha haaa
.
 
hahahahaha we jamaa umetisha, ila biko wana porojo nyingi ushindi wa kupangana
 
Mengi yamesemwa eti ooh mbona washindi wa BIKO hawaonyeshi mshtuko wanapoambiwa wameshinda mamilioni!!.. sasa leo ngoma imepata mchezaji baada ya mkazi wa mbagala "kuamua" kuzimia alipoambiwa na kajala pale ITV kuwa ameshinda mil 20! Mkazi huyo alipoulizwa na kajala eti umezimia? Akajibu ndio!! Alipoulizwa tena unajisikiaje kupata taarifa hii akajibu najisikia vizuri ..

Dohhh nimechekaa mpk machozi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom