Hatimae mshindi wa BIKO azimia kwa mshtuko

Mnashangaa nini sasa? bongo mtu anabakwa na yeye yeye ndo wa kwanza kukata mauno na wa kwanza kumwaga mpk mbakaji anabaki kaduwaa.
 
Hahahahahaha toka lini mtu aliyezimia akaongea [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii story inanikumbusha rafiki yangu alikuwa kanywa pombe sasa mwenziye mlevi akaomba lift kwenye pkpk yake anaporudi.
Njiani wakati wanarudi jamaa akajisahau kukata kona akaunga mbele pkpk ikavuka mtaro then ikavutuka tena kurudi nyumba yule abiria akaanguka ndani ya mtaro na kuumia.
Sasa jamaa yangu kamuuliza vipi umepona?. jamaa kamjibu nimezimia mimi, huku jamaa akichunguza pkpk yake naye akamjibu acha ungese wewe waliozimia wanaongea. Pombe noma.
Usiombee upate taarifa ya msiba umelewa utalia au kutoa vituko balaa.
 

Ha haaa
.
 
hahahahaha we jamaa umetisha, ila biko wana porojo nyingi ushindi wa kupangana
 

Dohhh nimechekaa mpk machozi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€hii kali kweli, hivi ni vituko uswahilini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…