I see... nilikuwa sijafahamu hilo!!! Kwahiyo na ndio maana jana wala hakujisikia ukakasi kutoa mfano kwamba "akina mama wa siku hizi wanapenda vijana wadogo... unaweza kumwambia mtu anapumuliwa kumbe ni baba ako!" Matokeo yake ukienda Instagram, moja ya mambo yanayoshabikiwa ni ikiwa Ommy Dimpoz kagonga Bi.Sandra! Lakini watu wa JF walivyo wanafiki; huwaoni wakiliongea hili... kwavile ni attack dhidi ya Diamond; kwao ni sawa tu!!!!Mkuu umesahau kuongezea point ya dimpoz kuweka like ktk post aliyotukanwa b mkubwa wa diamond
kasikilize za pumuliwaji sisi atutakiDiamond ana matatizo sana huo umaarufu uchwara unamvimbisha kichwa...mpuuzi sana kuanzia leo sisikilizi tena nyimbo zake.
Mond ana maadui wengi kuliko msanii yeyote hapa tz,mkuu fuatilia ile screenshot ya shilole kiuno alivyomtukana b mkubwa wa mond,alaf dimpoz akaweka like,people za humu ndani hiyo hawakuiona ila wameona dimpoz kaongea point.I see... nilikuwa sijafahamu hilo!!! Kwahiyo na ndio maana jana wala hakujisikia ukakasi kutoa mfano kwamba "akina mama wa siku hizi wanapenda vijana wadogo... unaweza kumwambia mtu anapumuliwa kumbe ni baba ako!" Matokeo yake ukienda Instagram, moja ya mambo yanayoshabikiwa ni ikiwa Ommy Dimpoz kagonga Bi.Sandra! Lakini watu wa JF walivyo wanafiki; huwaoni wakiliongea hili... kwavile ni attack dhidi ya Diamond; kwao ni sawa tu!!!!
Tuongee kidogo hapo kwenye RED! Unajua haya majukwaa; kila jukwaa lina members wa aina kuu mbili: Members wa Kudumu na Members wa kuja na kuondoka! Nadhani mimi ni member wa kudumu hapa Celebrities na kwa siku naingia angalau mara 5! Na member wengine wa kudumu wote wanafahamu kwamba mimi nipo upande wa Diamond! Kwahiyo ningejifanya sina upande au hata kama nisingesema chochote; basi labda ningewahadaa wale members wa kuja na kutoka lakini wengine wangeniona mnafiki tu nisiye na maana yoyote!!!!Suala lipo hivi!
Team kiba ni wazuri sana kushinda mitandaoni na kutengeneza mada wanavyoweza na kuichangia wao wenyewe kiasi kwamba mtu asie na timu akavutika na namna mada inavyoenda nae akaamua kujiunga nao kimawazo bila ya kufikiria kipi ni kipi!
Mleta mada nikupongeze kwa uwasilishaji wako wa mada ingawa mwishoni umeharibu kwa kuonesha upo upande wa diamond.
Ujumbe umefika na umeeleweka, diamond haumi maneno, anakupa makavu moja kwa moja.
Halafu niwakumbushe team kiba wamshauri king ili atanue mziki wake sio kila siku mziki upo kko na mombasa,ajaribu kupiga show hata uganda basi kuitangaza tz.
Mnatakiwa kunshtua king, mwambieni mond mwenzie anaukimbizia america na ulaya mziki wake sio yule wa kutafuta kufanya show diamond jubilee.
Sawa mkuu mimi ni wa kuchungulia na kuondoka ndio maana nilicomment hivyoTuongee kidogo hapo kwenye RED! Unajua haya majukwaa; kila jukwaa lina members wa aina kuu mbili: Members wa Kudumu na Members wa kuja na kuondoka! Nadhani mimi ni member wa kudumu hapa Celebrities na kwa siku naingia angalau mara 5! Na member wengine wa kudumu wote wanafahamu kwamba mimi nipo upande wa Diamond! Kwahiyo ningejifanya sina upande au hata kama nisingesema chochote; basi labda ningewahadaa wale members wa kuja na kutoka lakini wengine wangeniona mnafiki tu nisiye na maana yoyote!!!!
Mkuu nakuelewa ila we sijui kwanini unasema msaada wa marekani tu,kabla ya wanjera dai si alishatoka kidunia?mbn husemi ya mpuliza sexaphone?mbn husemi alivyokuwa anamtoroka hata kama kaulizwa kama anasepa mbele kesho tu huoni kuna kitu dai alikuwa akimkwepa msela wake?kwa staa kama dai mambo ya kupumuliana kisogoni yametoka wapi mbn kama ni kukosa hoja?ya davido na iyanya yanaeleweka salam ndo alikuwa kashika mpini na ndo maana dai kwa uwezo wake katumia fursa sasa yanini kugombania kolabo?salam aliposema dai katoa 50 alimaanisha ili na dimpoz apewe shavu ajiongeze.Mkuu, Diamond anaezungumziwa na Ommy Dimpoz ni wa 2014 kurudi nyuma...!! Diamond anayezungumziwa na Dimpoz ni pamoja na yule ambae watu walikuwa wanamzomea hapa JF kwamba amezamia harusi ya P Square guy hadi akatolewa nishai! Diamond anayemzungumzia Ommy Dimpoz kuhusu collabo na akina Davido hata ukaribu na Sallam hakuwa nao! Diamond anayemzungumzia Ommy Dimpoz ilibidi hata yeye mwenyewe (Diamond) aunganishiwe na akina AY ili afanye kazi na Davido na Iyanya!
Sasa anachotuambia Ommy Dimpoz; yeye alishakubaliana na Sallam (kabla hajawa meneja wa Diamond) kwamba afanye kazi na Davido! Diamond nae akawasiliana na AY, akamkutanisha na Sallam ili afanye kazi na Davido! Wakati Ommy Dimpoz aliambiwa $3000, Diamond akaambiwa $5000... Diamond akalipa na akafanya kazi!!
Hapo kabla ikumbukwe Dimpoz alishafanya kazi na J Martins kwa kubebwa bebwa hivyo hivyo... yaani for FREE na ndio maana Sallam akamkomalia kwamba collabo na Davido lazima alipie! Na ukiangalia trend vizuri; utagundua enzi hizo Ommy Dimpoz alikuwa karibu zaidi na Sallam kuliko Diamond alivyokuwa na Sallam; kwa sababu hiyo collabo ya bure, wawezeshaji ni hao akina Sallam! Na ndio maana, hata kwa Davido, Ommy Dimpoz alitajiwa pesa ndogo kuliko aliyokuwa ametajiwa Diamond!!!
Sasa ndo tunarudi kule kule...!!! Ikiwa kuna kila dalili kwamba Dimpoz alikuwa karibu sana na akina Sallam; nini kilimfanya asifanye hiyo collabo na Davido/Iyanya hata kama Diamond alifanya nao? Hivi inawezekana kweli Diamond ambae hakuwa na ukaribu wowote na akina Davido au hata Sallam bado angeweza kumbania Ommy Dimpoz? Kwani Davido/Iyanya kufanya collabo na Diamond inazuia nini Ommy nae kufanya nao? Ndo maana nikahoji; au ALISUSA au bado alitaka vya bure bure kama ilivyokuwa kwa J Martins?
Sasa baada ya hiyo remix na Davido, Diamond ndo akaanza kusikika nje... zikamtoa sana tuzo 3 za Channel O.
Pia akawa amepata nomination ya kwanza BET. Akapata nomination za kwanza AFRIMA/AFRIMMA! Sasa katika kipindi hicho ndo ambacho Dimpoz anadai alimuomba Diamond amtafutie collabo Marekani kwa madai Dai alishakuwa na connection!
Sasa hata kama wewe unafuatilia muziki ndipo nami nahoji... hivi Diamond alikuwa na jina gani 2014 hadi aweze kumtafutia mtu collabo Marekani? Na kama alikuwa na uwezo huo, mbona hata mwenyewe hakujitafutia? Jina la Diamond lilikuwa kubwa zaidi baada ya kushinda tuzo ya MTV MAMA na MTV EMA na hapo walikuwa wameshazinguana na Dimpoz kitambo!
Mnh! Yaani unamaanisha yale matusi yaliyoanzia kwa Bi Sandrah hadi kwa Tiffah?!Mond ana maadui wengi kuliko msanii yeyote hapa tz,mkuu fuatilia ile screenshot ya shilole kiuno alivyomtukana b mkubwa wa mond,alaf dimpoz akaweka like,people za humu ndani hiyo hawakuiona ila wameona dimpoz kaongea point.
Yaani ufurahie b mkubwa angu kutukanwa alafu mi nicheke na wewe, mkuu acha mond awanyooshe tu maana watu ni mabingwa wa kujitoa ufaham na usipoteze muda wako kuelekezana nao hawana maana hao mkuu ushabiki waneuweka mbele zaidi.
Nakuuliza tena mkuu dai kwa nini amesema dimpoz anapumuliwa kisogoni alijua kuwa watu wanajua ya mamake kuliwa na makuli was tandale sokoni?kwa upande wangu mie nimechangia tu kwa uelewa wangu huwa napenda baadhi ya miziki yao wote kiba dai na dimpo ila wao cwapendi coz wanashabikia ccm.I see... nilikuwa sijafahamu hilo!!! Kwahiyo na ndio maana jana wala hakujisikia ukakasi kutoa mfano kwamba "akina mama wa siku hizi wanapenda vijana wadogo... unaweza kumwambia mtu anapumuliwa kumbe ni baba ako!" Matokeo yake ukienda Instagram, moja ya mambo yanayoshabikiwa ni ikiwa Ommy Dimpoz kagonga Bi.Sandra! Lakini watu wa JF walivyo wanafiki; huwaoni wakiliongea hili... kwavile ni attack dhidi ya Diamond; kwao ni sawa tu!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] design kama inatuhusu hiviiiiii?
Ila sisi tunajielewa bwana,ni kiasi cha kujua upi wakati wa 'ligi' na mengineyo.
Sina shaka katika hili.
Acha ushamba wewe.
Inategemea na makubaliano ya mtu.
Johmakini feat. Chidnma ni bure, Johmakini feat. AKA ni bure.
AY na Romeo ni bure, Yemi Alade na saut Sol bure.
Usikariri.
Wasanii wanatumia hii nafasi kutafuta fun base kwenye nchi zingine.
Naomba tu nikupe pole jana Ommy amewa-outsmart mmeonekana vituko mbele ya jamii.
Hilo la saxophone nimeona halina maana na linafanana na issue ya kina Davido! Kwa sababu, ikiwa Dimpoz alikubaliana na mtu ampigie saxaphone lakini wiki moja baadae akamkuta Diamond na huyo mtu... sasa tatizo lipo wapi hapo? Kwani baada ya kumalizana na Diamond, Dimpoz nae asingeweza kuendelea na hizo program ya saxophone? Sasa nini kilimfanya aachane na hilo suala? Yaani kwavile tu Diamond "alimuwahi?!" au?! Tangu lini mpiga saxophone ikawa akishampigia mtu mmoja hawezi tena kumpigia mwingine?Mbona inaonesha kana kwamba, endapo idea ya jambo katoa yeye, basi mwenzake akifanya kabla yake tu; Dimpoz anasusa!!!!Mkuu nakuelewa ila we sijui kwanini unasema msaada wa marekani tu,kabla ya wanjera dai si alishatoka kidunia?mbn husemi ya mpuliza sexaphone?mbn husemi alivyokuwa anamtoroka hata kama kaulizwa kama anasepa mbele kesho tu huoni kuna kitu dai alikuwa akimkwepa msela wake?kwa staa kama dai mambo ya kupumuliana kisogoni yametoka wapi mbn kama ni kukosa hoja?ya davido na iyanya yanaeleweka salam ndo alikuwa kashika mpini na ndo maana dai kwa uwezo wake katumia fursa sasa yanini kugombania kolabo?salam aliposema dai katoa 50 alimaanisha ili na dimpoz apewe shavu ajiongeze.
Chige,wewe ni mtu makini lakini katika hili umekurupuka.
Umeshindwa kuzidhibiti hasira zako juu ya hili saga badala yake umemshambulia Ommy katika skendo inayomtafuna.
Mada yako 50% imelenga kumchafua Ommy na sio kuzungumzia masuala ya kikazi ambayo ndizo lawama alizozitoa Ommy. - labda mtoa mada kaamua kufanya ivyo kwakuwa interview nzima ya ommy ameongelea tu chanzo cha ugomvi wao na Domo ulipoanzia.
Kama mtu makini sikutegemea kabisa uingie katika huo mkumbo. - mtoa mada anabaki kuwa mtu makini kwakuwa siku zote mtu makini utoa conclusion pale tu anaposikia malalamiko ya pande zote mbili, Diamond bado hajaelezea chochote kuhusu chanzo cha ugomvi wake,ni kipi kinachowaaminisha maneno yote yaliyosemwa na Ommy kuwa ni ya ukweli???!!! Izo busara na hekima za Ommy dimpoz mnazozisema ebu zipimeni na jibu alilotoa kwenye interview yake pale alipoulizwa ''kashfa ya kupumuliwa na Domo" alijibu kitu gani...halafu mje tena na kumsifia huo uvumilivu na ukomavu mnaosema ameuonyesha.
Turudi katika hoja zako za connection na collabo.
Hivi unawezaje kusema kwamba Diamond asingeweza kumfanyia connection Ommy?
Diamond alikuwa anaenda katika tuzo za BET (kama sikosei)
Hivyo jina lake lilikuwa ktk vichwa/vinywa vya waliokuwa wengi...ile si connection kubwa tayari? - Hata wewe jiulize kwa ukubwa wa jina lake unalolisema yeye kama yeye tu amefanikiwa kujitengenezea kollabo ngapi mpaka sasa???achilia kumtengenezea mshkaji wake kwanza yeye tu binafsi alifanikiwa?? ukiona mpaka Raisi wa nchi yako anajaribu kumtengenezea kollabo Domo usidhani ni jambo doooogo kiivyo.
Diamond hakwenda kama ambavyo angeenda Ommy...yeye alienda kama star.
Hivyo endapo angeenda na Ommy hata ile kushake hands na akina Kanye West ingekuwa connection tayari. - Kwenye maisha wakati mwingine tuepukane na spoon feeding...kumbuka kipindi icho tayari uyo Ommy alishawezeshwa collabo na Iyanya tena kwa bureee kabisaaa..
Pia kuhojiwa kule na Karueche kungekuwa connection na hizo ndizo fursa zenyewe.
Katika hili Diamond anabeba lawama ya roho mbaya na wivu.
Hapendi wengine wapate japo kiduchu ya kile apatacho. - Hapa sasa ndo umesema tofauti kabisaaa...bora ungeedit ikasomeka kuwa ''hapendi Ommy dimpoz apate japo kiduchu'' kidogo ingeleta maana..ilo la kusema hapendi wengine wapate japo kidogo umechemka..sitaki kusema sana maana kila mtu anafahamu Domo anafanya nini na mchango wake pia kwenye jamii unaonekana wazi...mtu anaetoa ajira wa watanzania wenzako zaidi ya 35 halafu kusema hapendi wengine wapate japo kiduchu ni dhambi nyeupe kabisa...nenda ukatubu
Hukuona Ali Kiba akienda na Baraka South Afrika?
Unadhani alienda nae kuuza sura?
Ile ni connection, hata kukutanishwa na Sauti Sol ni connection tayari. - ukisema exposure ntakuelewa ila connection labda na Sauti sol,lakini kwa wasanii wengine wa afrika itamchukua mda sanaaaa maana hata Ally nae alienda kutengeneza connection zake kwanza.
Collabo hapa namuelewa Ommy,hata kama ningekuwa mimi nimemueleza rafiki mpango wangu kesho nikakuta keshaupandia dau ule mpango ingeniumiza na kunivunja moyo wa kuendelea na ule mpango.
Ni Ommy anayejua aliumia kiasi gani,hivyo kuipotezea kwake collabo na Davido huenda ana sababu zake nyingi na kulalamika huko ni sahihi. - sidhani kama kuna sababu za mwanaume kususa...tena yule anaetafuta collabo ili atoke,kama ishu ni collabo tu mbona bado Davido anapatika mpaka sasa,si akafanye nae hata leo tu kwani kuna tatizo gani??? hapa utagundua kuwa labda kuna sehemu Ommy mwenyewew anakwama na wala sio Domo kumbania au Sallam kuweka figisu.
Ni vyema tutaweka mihemuko na mahaba yetu juu ya tunaowashabikia wanapoteleza na kusema ukweli.
Kama ukweli ni vigumu kuusema basi ni busara zaidi kukaa kimya. - Nimependa sana ulivyofanya conclusion yako,lakini pia hiki ulichokiandika ni vyema zaidi endapo utakiishi na kukitekeleza wewe mwenyewe.
Period
Nimesikiliza interview ya Ommy Dimpoz... watu wanadai wamemwelewa lakini mimi SIJAMUELEWA!
Katika kuonesha kwamba tatizo ni Diamond, Ommy Dimpoz anatoa simulizi ya Diamond "kumbania" collabo na Iyanya pamoja na Davido! Tukianza na suala la Davido; Ommy Dimpoz anamnukuu Sallam akisema ".. basi poa lakini safari hii lazima ulipe... tulikusaidia kwa J Martin lakini sasa lazima ulipe!" (Sikiliza kuanzia Dakika 15:30-15:38).
Hapa huhitaji kuwa na digrii kufahamu kwamba kumbe collabo ya Ommy Dimpoz na J Martins jamaa (Dimpoz) alifanya bure!
God forbid, mwanaume UNASAIDIWA collabo... serious?! Hivi kweli J Martins anaweza kufanya collabo FOR FREE? If not; nani alimlipia Ommy Dimpoz hiyo collabo?! Wakati ule tayari Ommy Dimpoz alishakuwa msanii mkubwa tu hapa Tanzania ambae asingeshindwa kumlipa J Martins... halafu anapata FREE INTERNATIONAL COLLABO tena kutoka kwa M-Nigeria aliyeapa kutafuta pesa kwa udi na ubani!!!!kwani sallam kabila gani mkuu?
Mungu kiokoe kizazi chako... kama naanza kumuelewa Diamond aliposema "tunakufichia mengi!" Kauli ambayo awali niliipuuza!
Anyway, collabo ya Davido na Ommy Dimpoz haikufanyika kwavile Diamond alibania! Watu wanapotosha kwamba eti Diamond alipanda dau! Ukisiliza hiyo video, baada ya Davido kuja kwenye Fiesta; Diamond akawasiliana na Sallam na kuomba collabo na Davido ndipo Sallam akasema $5000 na Diamond akasema poa (sikiliza Dakika 16:00-16:07)!!
Kwahiyo sio kwamba Diamond alipanda dau bali baada ya yeye kuomba collabo, Sallam ndo akataja hiyo $5000. Halafu we Sallam popote ulipo: Inakuaje utake $3000 kwa Dimpoz lakini kwa sura ngumu kama Diamond utake $5000?! Mi sikuelewi ujue hasa nikizingatia tuhuma dhidi ya Dimpoz na tuhuma dhidi ya hako kakabila kako! Just kidding....
Anyway, nadhani watu wamesahau tu! April mwaka huu kulikuwa na uzi humu JF ambao ulihusu mahojiano na Sallam na point of interest hapa ni pale Diamond alipofanya kazi na Davido! Mwandishi wa Champion anamuuliza Sallam walivyokutana na Diamond kisha Sallam anajibu
Sasa hivi kulikuwa na kosa gani hapo?! Ina maana kwavile Dimpoz alisha-book collabo na Davido ndo basi haikutakiwa msanii mwingine kufanya collabo na Davido? Ni mambo ya wapi hayo? Mbona Ommy Dimpoz huyo huyo alifanya collabo na J Martins ambae alishakuwa amefanya collabo na AY/Mwana FA? Mbona C Pwaa alifanya kazi na Ms. Triniti na AY alivyonogewa na yeye akafanya nae kazi huyo huyo Ms. Triniti? Mbona AKA kafanya kazi na Diamond wakati Diamond huyo huyo alishafanya kazi na wasanii wengine wa South Africa?
Kama ni jambo la kawaida, nini kilimfanya Ommy Dimpoz asifanye kazi na Davido? Hivi Diamond wa miaka ile alikuwa na uwezo wa kumwambia Davido asifanye kazi na Dimpoz? Ikiwa Connector (Sallam) alikuwa tayari kwa $3000 za Dimpoz wakati Diamond alimtaka atoe $5000... hivi hii haimaanishi kwamba Sallam alikuwa anam-favor Dimpoz kuliko Diamond?
Narudia; KWANINI HAKUFANYA NAE HATA BAADA YA KUWA AMEFANYA NA DIAMOND? Au ALISUSA? Au hata hiyo $3000 alitaka mtu amlipie kama ambavyo nina wasiwasi huenda alilipiwa kwa J Martins? By the way, hivi kweli Davido wa 2013/2014 ageweza kufanya collabo kwa $3000?! Hivi huu si ndo ulikuwa msimu ambao Davido alikuwa kwenye peak?!
Mashaka yanaedelea! Ukimsikiliza Dakika ya 11:50 - 12:15 Ommy Dimpoz anazungumzia suala la kutaka waende pamoja Marekani ili hatimae Diamond akamfanyie Ommy Dimpoz mpango wa collabo na wasanii wa Marekani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kuna watu wanadai hatimae wamemwelewa Ommy Dimpoz... kwamba, kumbe mshikaji hana noma kabisa! Wale waliomwelewa; naomba wanieleweshe na mimi manake binafsi sijamwelewa kabisa!!!
Hivi kweli Diamond huyu alikuwa na uwezo wa kumtafutia mtu collabo Marekani wakati ule?! Diamond huyu huyu mpenda collabo awe na uwezo wa kumtafutia mtu collabo Marekani wakati mwenyewe alikuwa hajawahi kufanya collabo hata na mtoto wa shule kutoka Marekani!! SERIOUS?!
Hivi si ni Diamond huyu huyu wakati ule alikuwa anamuomba JK awaunganishe na wasanii wa Marekani?! Hivi hata yeye mwenyewe collabo yake ya kwanza na Wasanii wa America; si kaipata juzi tu hapa kwa Ne-Yo and thanks MTV MAMA ambao waliwakutanisha... which means, ni collabo ambayo ilizaliwa hapa hapa Africa...!
Na kwa bahati mzuri, Ne-Yo tena akapata tour ya Coke Studio hapa hapa Afrika!!! Sasa hao wasanii aliokitaka Dimpoz awapandie ndege na Diamond hadi US ni wasanii wa aina gani?! Yaani mtu huna connection nae, huna mawasiliano nae; si ajabu wala sio Follower wake kwenye social networks... hata namba yake ya simu hauna; lakini ghafla tu, unapanda ndege kumuomba collabo... from nowhere!!!!
Hizi kauli zingine zinatufanya watu tuanze ku-connect dots ingawaje hatukutaka kufanya hivyo manake, sioni ni namna gani mtu unataka kupanda ndege kutoka Afrika Mashariki hadi Marekani eti ukatafutiwe collabo from nowhere!! Sijawahi kusikia kitu kama hicho!!! Hivi ni kweli alikuwa anataka akatafutiwe collabo na wasanii wa Marekani au alitaka akafanyishwe COLLABO na Diamond na ndio maana mwenzake akamtoroka?!
Sorry Ommy Dimpoz... kwavile ulijiandaa; umeweza kuwachezea akili wengine lakini binafsi naona kumbe kweli wewe ni tatizo sema ndo vile tena; KUNYA ANYE KUKU! Ingawaje kulikuwa na mitifuano ya chini kwa chini lakini ni wewe ndie uliileta kwenye media kwa mara ya kwanza majuzi uliposema kuna watu wananunua views!
Ni mjinga tu ndie atajifanya hafahamu kwamba ulimlenga nani?! Na kiukweli kabisa INAKERA... mtu una-struggle usiku na mchana hadi wapuuzi wengine wanafikia kusema "hapo alipofikia ni kwa sababu anamgegeda mama ake wa kumzaa....!" Halafu anatokea mpuuzi mwingine anasema "unafanya kazi kiujaujanja...!
" As if hazioni hustle unazopitia! Mtu unalipa mamilioni ya pesa kutengeneza video hadi unatengeneza royal viewers wanaokaa mkao wa kula kusubiria next video; halafu anatokea mjinga mmoja anasema "unanunua views...!" kisha unaenda radio na kujifanya innocent!!!
I am not that dumb...
Sababu kubwa ambayo ilinifanya kumshabikia Donald Trump ni kwavile hakuwa mnafiki... sipendi watu wanafiki! Na ndio maana katika hili namuunga mkono Diamond kwa 100% kwa sababu baada ya kuchoshwa na u-snitch; akaamua kutoa makavu live... ukitaka kumuona Mswahili na Mshari, sawa na ukimuona vinginevyo; POA TU!!!!
Unaona sasa double standard hizo...! Wewe unaona ni sawa ukisema Mama yake Diamond analiwa na Makuli wa Sokoni Tandale lakini hapo hapo unahoji Diamond kusema "Mwanaume anapumuliwa kisogoni...!" Nadhani hata mfano wa Dimpoz kwamba anaweza kumwita mtu anapumuliwa kisogoni kumbe mtu mwenyewe ni baba ake! Na leo hapa ndo nimepata habari kwamba; kumbe ile mitusi mizito mizito waliyotukanwa familia mzima ya akina Diamond; Dimpoz nae aka-LIKE kuonesha amependezewa na hayo matusi! Lakini pamoja na yote hayo; mwenzake amejikita kwa Dimpoz... hajamtolea mfani mama ake wala dadake! Ndo maana nikatangulia kusema kwamba wanadhani kuna wengine wakidhalilishwa ni sawa tu lakini waki-fight back; tayari tatizo!!!!Nakuuliza tena mkuu dai kwa nini amesema dimpoz anapumuliwa kisogoni alijua kuwa watu wanajua ya mamake kuliwa na makuli was tandale sokoni?kwa upande wangu mie nimechangia tu kwa uelewa wangu huwa napenda baadhi ya miziki yao wote kiba dai na dimpo ila wao cwapendi coz wanashabikia ccm.
Ommy ndo mzembe alifanyaga tupogo na j.martins y hakutoa video na kipindi kile j martins alikuwa juu sana yaan ommy ndo alitakiwa atoboe nigeria kabla ya diamond akazembea then baadae ndo anakuja kulilia connectionChige,wewe ni mtu makini lakini katika hili umekurupuka.
Umeshindwa kuzidhibiti hasira zako juu ya hili saga badala yake umemshambulia Ommy katika skendo inayomtafuna.
Mada yako 50% imelenga kumchafua Ommy na sio kuzungumzia masuala ya kikazi ambayo ndizo lawama alizozitoa Ommy.
Kama mtu makini sikutegemea kabisa uingie katika huo mkumbo.
Turudi katika hoja zako za connection na collabo.
Hivi unawezaje kusema kwamba Diamond asingeweza kumfanyia connection Ommy?
Diamond alikuwa anaenda katika tuzo za BET (kama sikosei)
Hivyo jina lake lilikuwa ktk vichwa/vinywa vya waliokuwa wengi...ile si connection kubwa tayari?
Diamond hakwenda kama ambavyo angeenda Ommy...yeye alienda kama star.
Hivyo endapo angeenda na Ommy hata ile kushake hands na akina Kanye West ingekuwa connection tayari.
Pia kuhojiwa kule na Karueche kungekuwa connection na hizo ndizo fursa zenyewe.
Katika hili Diamond anabeba lawama ya roho mbaya na wivu.
Hapendi wengine wapate japo kiduchu ya kile apatacho.
Hukuona Ali Kiba akienda na Baraka South Afrika?
Unadhani alienda nae kuuza sura?
Ile ni connection, hata kukutanishwa na Sauti Sol ni connection tayari.
Collabo hapa namuelewa Ommy,hata kama ningekuwa mimi nimemueleza rafiki mpango wangu kesho nikakuta keshaupandia dau ule mpango ingeniumiza na kunivunja moyo wa kuendelea na ule mpango.
Ni Ommy anayejua aliumia kiasi gani,hivyo kuipotezea kwake collabo na Davido huenda ana sababu zake nyingi na kulalamika huko ni sahihi.
Ni vyema tutaweka mihemuko na mahaba yetu juu ya tunaowashabikia wanapoteleza na kusema ukweli.
Kama ukweli ni vigumu kuusema basi ni busara zaidi kukaa kimya.
Period
Haaaaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kumbeee, au ile ya kiba na nuh